Kwa wale wanasheria na mnao zifahamu vizuri sheria naomba mnifafanulie hili

kituma12

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
301
Reaction score
122
KWA WALE WANASHERIA NA MNAO ZIFAHAMU VIZURI SHERIA NAOMBA MNIFAFANULIE HILI

Sheria ya nchi yetu inasemaje kuhusu (ugaidi)?
Na niwapi kesi huwa considered kama kesi ya ugaidi? Je kosa la kumteka m2 na kumdhuru huwa considered kama kesi ya ugaidi?
Ni mesema hayo baada ya kusoma kwenye magazeti na kuna kwenye vyombo vya habari kuwa wale makada wa Chadema wamekamatwa na wamefunguliwa kesi ya ugaidi, kwa kosa la kumteka na kumwagia tindikari kada wa Ccm.
Nimefulahishwa sana na jambo hilo kuona haki inatendeka ikiwa ni siku chache tu toka Pm kutoa kauli yake.
Lakini nimepata Utata kidogo kwenye haya maswala ya ugaidi, huu utata umenipata hasa tukikumbuka matukio ambayo yasha wahi kutokea hapo nyuma kwenye nchi yetu, tukianzia siku chache tu zilizo pita tumeshuhudia mabomu ya kule Arusha moja ni kwenye mkutano wa Chadema na jingine kwenye kanisa katoriki je haya matukio sio ya kigaidi?
Tukiendelea kurudinyuma kidogo tukio la bwana Lwakatale na kufunguliwa kesi ya ugaidi then ikawa si tena ya ugaidi, kabla ya tukio hilo tulisikia swala la bwana Kibada je hili tukio nalo si la kigaidi?
Je vipi swala la Ulimboka, na wengine wengi walio tekwa na kupigwa na wengine hadi kufa, je hayo matukio yote si ya kigaidi?
Au kukiwa na interest ya wa2 flani ndo kesi inakuwa ya kigaidi?
 
Yafuatayo ni makosa ya kigaidi na yasiyo yakigaidi
Yakigaidi
1.Kumwambia Pinda ni Mpumbavu wewe ukiwa ni Chadema au mpenda haki ni ugaidi
2.Green Guard wakimwagiana tindikali kwa kuzulumiana malipo ya Mwigulu nchemba Chadema wanashitakiwa kwa ugaid
3.Kumwita JK dhaifu ukiwa Chadema ni Ugaidi
4.Kukutwa kwenye youtube ukisimulia watoto wako jinsi simba anavyoweza kumuua swala nawewe ukiwa Chadema
5.Kupendwa na Watanzania kiasi cha kujaa kusikiliza mikutano yako ya Kisiasa ni Ugaidi
6.Kuwaambia watu Ukweli kwamba Ccm ni majambazi na wakoloni weusi ni ugaidi hasa ukiwa wewe ni Chadema.
7.Kukataa kwenda mikutano ya Ccm ni ugaidi
YAFUATAYO SI MAKOSA YA KIGAIDI
1.Kiongozi wa Ccm akimchinja kiongozi wa Chadema kwa Chesol
2.Kiongozi wa kisomali wa Ccm akiua Tembo 80 kwa siku sio ugaidi
3.Polisi akirusha Bomu mkutano wa Chadema na kupiga risasi watoto wa madrasa na kuuwa wanne na 100 kujeruhiwa
4.Kutekwa mwandishi wa habari Kibanda na Usalama wa Taifa na Polisi sio Ugaidi
5.Kuteswa Ulimboka na Ramadhani Ighondu kwa maagizo ya Ikulu na Pinda sio Ugaidi
6.Polisi kumlipua Bomu Mwangosi kwa maagizo ya Ccm na Kamuhanda sio ugaidi
7.Polisi kumuu mama mjamzito kule mtwara sio ugaidi
9.Polisi chini ya Zombe kuua wafanyabiashara wa Madini sio Ugaidi
10.Polisi kuwaua watanzania pale wanapojisikia kuuwa sio ugaidi
Ongezea nawewe unayoona sio ugaidi
 
Back
Top Bottom