kituma12
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 301
- 122
KWA WALE WANASHERIA NA MNAO ZIFAHAMU VIZURI SHERIA NAOMBA MNIFAFANULIE HILI
Sheria ya nchi yetu inasemaje kuhusu (ugaidi)?
Na niwapi kesi huwa considered kama kesi ya ugaidi? Je kosa la kumteka m2 na kumdhuru huwa considered kama kesi ya ugaidi?
Ni mesema hayo baada ya kusoma kwenye magazeti na kuna kwenye vyombo vya habari kuwa wale makada wa Chadema wamekamatwa na wamefunguliwa kesi ya ugaidi, kwa kosa la kumteka na kumwagia tindikari kada wa Ccm.
Nimefulahishwa sana na jambo hilo kuona haki inatendeka ikiwa ni siku chache tu toka Pm kutoa kauli yake.
Lakini nimepata Utata kidogo kwenye haya maswala ya ugaidi, huu utata umenipata hasa tukikumbuka matukio ambayo yasha wahi kutokea hapo nyuma kwenye nchi yetu, tukianzia siku chache tu zilizo pita tumeshuhudia mabomu ya kule Arusha moja ni kwenye mkutano wa Chadema na jingine kwenye kanisa katoriki je haya matukio sio ya kigaidi?
Tukiendelea kurudinyuma kidogo tukio la bwana Lwakatale na kufunguliwa kesi ya ugaidi then ikawa si tena ya ugaidi, kabla ya tukio hilo tulisikia swala la bwana Kibada je hili tukio nalo si la kigaidi?
Je vipi swala la Ulimboka, na wengine wengi walio tekwa na kupigwa na wengine hadi kufa, je hayo matukio yote si ya kigaidi?
Au kukiwa na interest ya wa2 flani ndo kesi inakuwa ya kigaidi?