Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Hahahaha kipana kama sahaniNimeacha pushups nowdays kifua kimekuwa kikubwa sana,napata shida sana kuchagua mashati mazuri ninapokuwa madukani au ninapotoa size yangu mtu anapotaka kunitumia zawadi...
Nimeacha pushups nowdays kifua kimekuwa kikubwa sana,napata shida sana kuchagua mashati mazuri ninapokuwa madukani au ninapotoa size yangu mtu anapotaka kunitumia zawadi...
Kwa kifupi gym nilishaacha kwenda long time nikaamua kuanza kupiga push up home tu!
Kwa kifupi huwa naenjoy sana hasa marafiki wakija kunitembelea huwa nawapa challenge ya kushindana na Mimi huwa nacheka sana baada ya push up 15 tu wanaanza kuhema kama mbwa koko!wakati Mzee mzima hapo naenda zaidi ya push up 150
Tukutane hapa wapenda mazoezi
Sent by Diaspora
Kuna aina ya push-up man, je push-up unazopiga...ni za nakoz (nuckles) mbili au zote ...na kama ni push-up za nuckles zote ni zile unakuwa kwenye flat surface au za kuweka miguu juu ya kitu kama jiwe, stuli au ukutani...150 push-ups mana ake uko fit,Kwa kifupi gym nilishaacha kwenda long time nikaamua kuanza kupiga push up home tu!
Kwa kifupi huwa naenjoy sana hasa marafiki wakija kunitembelea huwa nawapa challenge ya kushindana na Mimi huwa nacheka sana baada ya push up 15 tu wanaanza kuhema kama mbwa koko!wakati Mzee mzima hapo naenda zaidi ya push up 150.
Tukutane hapa wapenda mazoezi
Sent by Diaspora
mimi 50 wide...40 nabana...zoezi la push up linaishia hapo...naanza squat na shoulder...kiumbo fulan hivi mazin g yani! hahahaaaKwa kifupi gym nilishaacha kwenda long time nikaamua kuanza kupiga push up home tu!