Kwa wale wapenzi wa matangazo ya TV na Radio, tangazo lipi unalipenda?

Lile anadaiwa na mpoki mara anapigiwa simu na biko kashinda.[emoji23] [emoji23]
Ahahahhh na hili pia nalipenda sana alivyoanza kumtolea mbovu mpoki bada ya kushinda biko yaan biko mwanzo walikuwa wanaharibu matangazo yao bada ya kumuweka joti matangazo yanafurahisha sana
 
Sijwweza kusahau la Miriam odemba. Nieleze siri ya mafanikio yako
Sio siri nu revola. Yaani huwa linajirudia sana hasa nikusikia mtu anaulizwa hilo swali hahaaaaaa
 
Kuna lile tangazo lq biko mpoki kaenda kukadai kapemba hela ya mkopo alafu kakapigiwa cm na biko kuwa kameshinda milion mia aisee huwa nacheka sana kale kajamaa
Et kanamwambia mpoki kampige na milion tano uson
 
Napenda tangazo la biko la joti na mpoki sijui ni vile napenda mahela ila huwa linanifurahisha sana mgonjwa alikuwa hoi kuambiwa kashinda biko na nguvu kapata
Hahaaa hli ndio kiboko
 
Enika na CRDB.

La guiness na Michael power ktk TV .

Ze comedy kuhusu mfuko wa UTT.

Halaf kuna lile la kubabu kimoja kinafimbo kinaruka toka bara mpka zenji sanasana lilikuwa ch 10 nshasahau content yake
 
Ahahahhh na hili pia nalipenda sana alivyoanza kumtolea mbovu mpoki bada ya kushinda biko yaan biko mwanzo walikuwa wanaharibu matangazo yao bada ya kumuweka joti matangazo yanafurahisha sana
Kuna lile la chipssnacks analilia anataka pop cheese mama ake anamwambia chizi tena hahaha anasema aaa aaa jibini [emoji23] [emoji23]
 
Ahahahhh na hili pia nalipenda sana alivyoanza kumtolea mbovu mpoki bada ya kushinda biko yaan biko mwanzo walikuwa wanaharibu matangazo yao bada ya kumuweka joti matangazo yanafurahisha sana
Hili la redioni ama? Sijaliona kwa tv
 
Dum dum dum dum tigo lilikuwa zuri pia.

La fanta marafiki wanaulizana Mbona sikukuona jana carfonia junior sijui ( radio)
 
Sijwweza kusahau la Miriam odemba. Nieleze siri ya mafanikio yako
Sio siri nu revola. Yaani huwa linajirudia sana hasa nikusikia mtu anaulizwa hilo swali hahaaaaaa
Haha hili tangazo pia lilikuwa ni shiida...

Kuna Tangazo la pedi simba mabati.

Mzee mmoja ameshika bati anavyoimba simba duuumu simba dumuu utacheka ufe.

Joti na mzee majuto are the best.
 
Hahaaa swali zuri
Stable napenda tu matangazo aidha kuyaskia ama kuyaona.

Airtel kazi ni kwako...The best network for your smartphone.
Vodacom life is exciting, ready!
Tigo love it live it.
Startimes ulimwengu wa kigitaaali.

Continental the quality to talk about.

buzz buzz ni bombaa
 
Hahaaa swali zuri
Stable napenda tu matangazo aidha kuyaskia ama kuyaona.

Airtel kazi ni kwako.
Vodacom life is exciting ready!
Tigo love it live it.
Startimes ulimwengu wa kigitaaali.

Continental the quality to talk about.

buzz buzz ni bombaa
 
lile la koka la clouds huwa linaniboa, waambieni walibadilishe too much is harmfull.
 
Dum dum dum dum tigo lilikuwa zuri pia.

La fanta marafiki wanaulizana Mbona sikukuona jana carfonia junior sijui ( radio)
Kuna yule mzee wa kipima joto Itv anakuaambia

The fountain view academy ni kisiima cha mafanikio. Anavyoitamka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…