Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ahahahhh na hili pia nalipenda sana alivyoanza kumtolea mbovu mpoki bada ya kushinda biko yaan biko mwanzo walikuwa wanaharibu matangazo yao bada ya kumuweka joti matangazo yanafurahisha sanaLile anadaiwa na mpoki mara anapigiwa simu na biko kashinda.[emoji23] [emoji23]