Kwa wale wapenzi wa matangazo ya TV na Radio, tangazo lipi unalipenda?

Ninapokuwa na watoto Nyumbani,Na watoto wakubwa kama huyu,Daima huwa natumia Coflin.
Leta nguo tukafue komoa leta nguo tukafue komoa... la sabuni ya komoa.

Unalikumbuka la 90s
 
Ebu leta coca yangu,maneno meengi. Mh mbona haijapungua chochote
 
Ebu leta coca yangu,maneno meengi. Mh mbona haijapungua chochote
 
Ili uwe rubani sharti ulale kwenye chandarua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo mzee mzushi hajui lolote anaanza kwa kushangaa eti haaa haaaa mwanangu hayo ni masuala ya kitaalamuu
 
RFA sa 12 na nusu hivi kuna lile tangazo la Malaria , eti malaria yake huanzia tumboni ....mwishoni wanasema sio kila homa malaria
 
Jamani nilikiwa nalipenda tangazo la bambucha.
Haloo unaenda wapi sasa hivi ?
Around
Niunge teller
(Hapa sijui walikuwa wanasema hivo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
Bambucha
Yes niunge tela...

Kuna la mzee majuto la Ivory... anavyocheka sasa.
 
Chai nzuri yenye nguvu
Uuuh
Maisha yotee
Ni chai jabaaa... Kikombe cha urafikiiiiii.....
Ule mdomo nauona kwa member mmoja ameweka avatar anaitwa MO11
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]ile rafudhi ya kiarusha ndo alikuwa ananiacha hoi...oswald akiishiwa mpunga anamwambia mchiz wake aisee ni cheki basi kwa eazy pesa
 
RFA sa 12 na nusu hivi kuna lile tangazo la Malaria , eti malaria yake huanzia tumboni ....mwishoni wanasema sio kila homa malaria
Zama zimebadilika
 
RFA sa 12 na nusu hivi kuna lile tangazo la Malaria , eti malaria yake huanzia tumboni ....mwishoni wanasema sio kila homa malaria
Zama zimebadilika
 
kuna tangazo moja la kituo cha mafuta linawekwaga sana E fm jamaa kaishiwa mafuta afu yuko na wakwe zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…