Kwa wale wapenzi wa matangazo ya TV na Radio, tangazo lipi unalipenda?

Kwa wale wapenzi wa matangazo ya TV na Radio, tangazo lipi unalipenda?

Kuna tangazo moja hivi la bia inatengenezwa kaskazini huwa naliskia clouds kwenye jahazi ni kama wimbo flani hivi wanaimba " kaaaaribu kaskazini......
Sema sijashika lyrics zake huwa nalielewa sana
Hili silijui aseeh
 
23905249_10156695457366840_2648629437879563053_n.jpg



23844731_10156695457371840_1486761608641715992_n.jpg



23844378_10156695457576840_6704913936613142638_n.jpg



23844398_10156695457236840_836547442726033030_n.jpg



23905420_10156695457561840_4373384943564657390_n.jpg



24131093_10156695457461840_9201371396392047742_n.jpg



24068315_10156695457696840_7271496399496286173_n.jpg



24058713_10156695457571840_7845917801130099805_n.jpg



23915803_10156695457226840_7042006992063828705_n.jpg



23915718_10156695457446840_3337156229471392293_n.jpg



23915543_10156695457701840_1475634492390437733_n.jpg



23905507_10156695457361840_3612135903055412059_n.jpg
 
Mbona tangazo la tigo halipo kwenye list yako? Lile tangazo linatia kichefu chefu sana.
TCRA wamekaa kimya mpaka leo. Wash.nzy sana tigo.
Kwa huu ukimya tutarajie kupata nyimbo za ovyo zaidi ya wowoo
 
Haya matangazo ya kusafisha nyota, kurudisha nyota iliyo potea, mvuto wa biashara, mvuto wa wapenzi, kuongeza akili darasani na upupu unaofanana na huo kwangu mimi hio ni uzwazwa kiwango cha SGR.
 
Nimecheka hiyo "FIRE IS HOT" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mleta mada nimwelewa vema. Essence ya ujinga wa haya matangazo huonekana pale unapoona kabisa kwamba kwa vyovyote vile bila hata kusungekuwepo tangazo|tahadhari ile hakuna yeyote ambaye angeshindwa kutambua anachopaswa kufanyanya.
:::Mf, kama hilo la kiti ni kibovu, usikalie; wakati hata pa kukaa penyewe hapapo.
:::Sideway ends wakati pa kutembelea pamegota mwisho na kila mtu anaona.
:::Sakafu imelowa!! na wakati huo huo unaona kabisa kuna mirija inatema maji kwenye sakafu hiyo. Yani ni upuuzi mwanzo mwisho.
 
1.Huduma za nasako ni bora sana,,huduma za nasako ni bora sana

2.Hongera mwanangu eee hongera nami nihongere eee hongera,,mama uchungu mama uchungu, nyamala mwanangu oyeee nyamala mwanangu sungulaudele linauma mno eee nyamala.
 
Omari mbona wajikuna nhwarara ngwararaaa.

Tangazo la sabun ya kuogea
 
Mwanangu nyamaza leo tutakula wali(katoto kanalia ng'aaa ng'aaaa) mama mtu anaimba sijui lilikua tangazo la nn vile
 
Mbona tangazo la tigo halipo kwenye list yako? Lile tangazo linatia kichefu chefu sana.
TCRA wamekaa kimya mpaka leo. Wash.nzy sana tigo.
Kwa huu ukimya tutarajie kupata nyimbo za ovyo zaidi ya wowoo
Weka picha

sent from my xm udongo using jf app
 
Back
Top Bottom