Ungeyaandika kwa kiswahili mkuu[emoji13] [emoji13]
Kama hayo matangazo kwako ni ya kijinga wewe si ubaki kuwa mpuuzi tu.
Lazima kaptula imdondoke akiwa na msuli, au asinzie kwenye kochi alafu adondokemimi matangazo yote yenye yule mzee anaitwa majuto huwa kwangu yana kuwa ya kipuuzi ,ya kitoto na kitaahira.
Lazima kaptula imdondoke akiwa na msuli, au asinzie kwenye kochi alafu adondoke
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Halaf yeye na watu wa aina yake wanaamin ni comedy.
Weka pichaMbona tangazo la tigo halipo kwenye list yako? Lile tangazo linatia kichefu chefu sana.
TCRA wamekaa kimya mpaka leo. Wash.nzy sana tigo.
Kwa huu ukimya tutarajie kupata nyimbo za ovyo zaidi ya wowoo