Kwa wale wapenzi wa matangazo ya TV na Radio, tangazo lipi unalipenda?

Tueleze siri ya mafanikio yako....

Vipi mama marium mbona unalalamika hivi? Daah kitambo
 
Picha ya ukumbusho tafadhali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tueleze siri ya mafanikio yako.....natumia revola
Kwani muonekano wake ni tulivu na huniweka mrembo mchana kutwa

Nakumbukakumbuka baadhi ya maneno
Kwa anayekumbuka zaidi atuandikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…