“Kisha atawaambia na wale walioko mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, mwende katika moto wa milele, aliowekewa tayari Ibilisi na malaika zake; kwa maana nalikuwa na njaa, msinipe chakula; nalikuwa na kiu, msininyweshe; nalikuwa mgeni, msinikaribishe; nalikuwa uchi, msinivike; nalikuwa mgonjwa, na kifungoni, msije kunitazama. Ndipo hao pia watajibu, wakisema, Bwana, ni lini tulipokuona wewe una njaa, au una kiu, au u mgeni, au u uchi, au u mgonjwa, au u kifungoni, tusikuhudumie? Naye atawajibu, akisema, Amin, nawaambia, Kadiri msivyomtendea mmojawapo wa hao walio wadogo, hamkunitendea mimi. Na hao watakwenda zao kuingia katika adhabu ya milele; bali wenye haki watakwenda katika uzima wa milele.”Kwa kuwa umesikia ujumbe huu hutakuwa na udhuru siku ya hukumu, Hutakuwa na nafasi ya kujitetea kwa nini ulikataa kuokoka — Mathayo 25: 41-46
Hahaa, umenisoma vibaya, mkuu. Makanisa yaliyopo yanatosha. Nikifungua kanisa la Assemblies of God humu, nitawabatizaje watu kwa maji mengi?Ukimsoma vema Setfree utadhani anataka kufungua JF Assemblies of God church
Your assertion is emblematic of a deeper crisis of discernment — a failure to distinguish eternal truth from modern cynicism. To reduce biblically grounded eschatology to 'conspiracy theories' is not merely a mischaracterization; it is a dismissal of divine revelation that has been meticulously preserved, faithfully proclaimed, and prophetically unfolding across generations. The truths I shared are not speculative constructs, but immutable declarations of Scripture. Their fulfillment does not hinge upon human belief, for what God has spoken shall, in its appointed time, be fulfilled — regardless of public opinion.Full of conspiracy theories.
Usipotoshe Maandiko. Ufunuo 20:6 inazungumzia ufufuo wa kwanza. Yesu atakapokuja waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Huo ndio ufufuo wa kwanzaKristo alisharudi kutimiza (ufunuo 20:6)ila sivyo kama wengi walidhania na wachache waliojua ni yeye walimkataa kama ilivyokuwa kwa israel miaka 2000 iliyopita.
Hilo bado halijatokea. Mstari wa 4 unasema: "mauti haitakuwepo tena." Sasa hivi watu bado wanakufaHivi sasa ni majira ya Muumba mwenywe aliyemtuma Yesu(Yohana 17:3) kama alivyosema katika:-
Ufunuo 21:3
Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.
Ushoga ni NiniHahaa, umenisoma vibaya, mkuu. Makanisa yaliyopo yanatosha. Nikifungua kanisa la Assemblies of God humu, nitawabatizaje watu kwa maji mengi?
Watu wenyewe humu wameficha IDs zao, huwezi kujua kama wako China au Azerbaijan 😀
Nasaidia kuifanya jamii iwe na maadili mazuri. Watu wengi wakiokoka, mambo maovu kama ubakaji, ufisadi, ujambazi, ushoga... yatapungua sana.
Mshaanza tayari kututoa kwenye mada kwanini hujauliza ujambazi ni nini?Ushoga ni Nini
Sawa mtumishi, ila ni kwamba watumishi mnatupiga sana hebu fanyeni kampeini ya kuigeuza injili iwe huduma badala ya bidhaaAtakuja kama ilivyokuwa wakati wa Nuhu. Nuhu aliwatahadharisha watu kwamba gharika itatokea wakampuuza. Ghafla, gharika ikaja, watu wakarambwa na maji — Mathayo 24:37
Mnatuchanganya sasa, nina jirani yangu na yeye anajiita Yesu, mpo wangapi waheshimiwa?.Unaweza ukakuta mimi ndio Yesu mpo tu kila siku tunapishana huku JF bila kujua nmesharudi
Mimi niko niliko nitakuakoMnatuchanganya sasa, nina jirani yangu na yeye anajiita Yesu, mpo wangapi waheshimiwa?.
Religion is a fraud with a concept that only fills people with fear about the existence of fire. The Bible is just a book that people invented, just like the detailed scriptures of Eric Shigongo. Today, you are coming to deceive people when the holy scriptures have come with the concept of deceiving and fooling people.Your assertion is emblematic of a deeper crisis of discernment — a failure to distinguish eternal truth from modern cynicism. To reduce biblically grounded eschatology to 'conspiracy theories' is not merely a mischaracterization; it is a dismissal of divine revelation that has been meticulously preserved, faithfully proclaimed, and prophetically unfolding across generations. The truths I shared are not speculative constructs, but immutable declarations of Scripture. Their fulfillment does not hinge upon human belief, for what God has spoken shall, in its appointed time, be fulfilled — regardless of public opinion.