X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,791
- 15,016
Hicho kitabu ulicho weka reference ni yesu mwenyewe ndie amekichapisha...? Au ni copy ambazo mtu yeyote akiamua anacopy anabadilisha chochote...!
Kama Mungu yupo kweli atakutumia maandiko yeye mwenyewe haina haja ya kusoma kitabu chochote kilicho andikwa na mwanaadam...!
Kama Mungu yupo kweli atakutumia maandiko yeye mwenyewe haina haja ya kusoma kitabu chochote kilicho andikwa na mwanaadam...!