Kwa wale wasiojua, Yesu atakuja hivi...

Sawa mtumishi, ila ni kwamba watumishi mnatupiga sana hebu fanyeni kampeini ya kuigeuza injili iwe huduma badala ya bidhaa
Injili ni huduma. Yesu hakudai hata senti moja wakati anahubiri Injili. Na hata alipowapa wanafunzi wake mamlaka ya kuponya wagonjwa na kutoa pepo aliwaambia watoe huduma hiyo bure. Hao wanaogeuza Injili kuwa bidhaa ni manabii wa uongo, waepuke.
 
Inasemekana atashukia Kilimanjaro International Airport na atatumia gari za Nabii mkuu Geodavie.
 
To repudiate the veracity of eternal fire as mere fearmongering is to disregard a profound ontological and metaphysical reality. Silence on such a consequential matter would constitute a dereliction of moral responsibility. Furthermore, to reduce the Scriptures to an anthropogenic fabrication ignores their transcendent coherence, enduring existential impact, and the inexplicable consonance experienced by countless individuals across epochs. The assertion of deception overlooks the nuance of divine revelation mediated through sacred text, which continues to resonate beyond the limits of human contrivance.
 
Hivi nyie watu mnaoamini dini za mrumi akili zenu huwa mnaziweka wapi, yaan mpaka leo bado tu hamjajua kama tulipangwa? Pamoja na mokanganyiko kibao ya bible bado hamtaki kuelewa? Duh! Kweli kazi ipooo
 
Foolish
 
It is the utterance of the intellectually bankrupt and morally deficientβ€”nay, the quintessential foolβ€”who declares within himself, whether audibly or in silent conviction, that there exists no God.
 
Shenchonji ndio mbingu mpya na nchi mpya. YESU KRISTO ameshakuja, yuko Korea
 
It is the utterance of the intellectually bankrupt and morally deficientβ€”nay, the quintessential foolβ€”who declares within himself, whether audibly or in silent conviction, that there exists no God.
With all that you have in mind about bible and some kind of that i put it in one word that is fooling
 
Ufufuo wa kwanza na wapili vyote teyari ila sivyo kama wengi tulifundishwa kwamba waliokufa watatoka makaburini NO.soma

1Korintho 15:51
Angalieni, nawaambia ninyi siri; hatutalala(kufa) sote, lakini sote tutabadilika,

Badiliko limeshatokea japo dunia inajaribu kuficha lakini KWELI ya Muumba haizuiliki.

Wafu sio walizikwa tu hata walio hai ambao hawamjui MUUMBA wao wa kweli ni wafu,so hao unaona wanakufa jua bado hawajapata ufahamu wa Muumba wao,kama alivyosema Yesu katika

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma(mtume).
 
Mtoa mada unatafuna umombo ni hatari na nusu:
Hii slang hata Mwingereza wa kuzaliwa haiwezi bila kwenda shule ya Falsafa, Teolojia na lugha husika
Wajibu tu wanao ongea kiswahili nina uhakika kwa hiki kimombo ni wachache wataokuelewa na kundelea kutafuna karoti ya Malkia kwa majibizano:
Unatisha sana Mtumishi:
 
niliwaza mtumishi anatumia AI
 
niliwaza mtumishi anatumia AI
Wapo watumishi wenye uwezo kama wake ila ni wachache na wengi wao wamesoma katika vyuo vya U.K
Kwakuwa yupo anaweza kuja na majibu hapa:
Pia nilitaka kujua kama yeye ni Male au Female maana Avatar na ID yake
vinanichanganya kidogo:
 
Kwa kile kichapo alichochapika na watu wake aliowaumba mixer kugongelewa misumari, hata ingekuwa niwewe ungerudi?
 
kwamba unatumia Britain English hatutaelewa ok ni kwamba hakukua na haja ya kufanya hvo mbwa wewe
 
kwamba unatumia Britain English hatutaelewa ok ni kwamba hakukua na haja ya kufanya hvo mbwa wewe
Huna haja ya kumtukana
Kaleta mada kwa lugha ya Kiswahili
Jamaa kamnukuu na kumwandikia kwa lugha ya Kiingereza
Naye mtoa mada ndio amemjibu kwa lugha hiyo
Aliyekosea ni aliyemjibu kwa Kiingereza wakati mada ni ya Kiswahili
Usikimbilie kuhitimisha jambo hali ya kuwa hujafanya utafiti wa kutosha
 
ni kweli hakuna Mtanzania anaweza kundika English ya hivi waingereza wenyewe hawaandiki hivi
 
Kwanza nikusahihishe, Yesu anaerud sio yule Binadamu aliyekuwa hapa dunian. Anaerudi ni mfalme na anakuja akiwa na mamlaka kamili na utukufu wa Kimungu, huku akiwatuma Malaika.zake pande zote za dunia kuwachukua wateule. Yeye mwenyewe binafs hatashuka hapa chini Ardhini, tutachukuliwa ghafla kufumba na kufumbuliwa tutaenda kumlaki Bwana Mawinguni. Hivyo tutakuwa na Bwana milele. (Mwana wa Adam anaenda zake kama alivyoandikiwa lakin Ole wake yule atakaemsaliti. Ni heri asingelizaliwa) mwisho wa kumnukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…