Kwa wale wasiojua, Yesu atakuja hivi...

Hicho kitabu ulicho weka reference ni yesu mwenyewe ndie amekichapisha...? Au ni copy ambazo mtu yeyote akiamua anacopy anabadilisha chochote...!

Kama Mungu yupo kweli atakutumia maandiko yeye mwenyewe haina haja ya kusoma kitabu chochote kilicho andikwa na mwanaadam...!​
 
ni kweli hakuna Mtanzania anaweza kundika English ya hivi waingereza wenyewe hawaandiki hivi
Wapo wa tz ila ni wachache sana, pamoja na mtoa mada:
Kiswahili chake ni cha mtanzania wa kuzaliwa:
Waingereza wenye lugha yao wanaandika zaidi ya hapo:
Ila ni wale wataalamu wa isimu ya hiyo lugha ya Malkia:
Wamarekani wana Kiingereza chao pia:
Mtoa mada anazungumza cha ziwani London, kimombo halisi:
Na wala hatumii Ai
 
Huyu anatisha sana, watu wajichunge.... 😂
Eneweiz, umechomokaje lupango na mvua tatu.....
Hahaha nani umuwekee mvua 3 akuangalie tu ila hajafunga 3 kafunga 2
 
huyu jamaa ni mbwa na ni fala sana hajui kwamba dunia now nikubwa
Easy man JF is a very nice place where people can have fun and enjoy themselves, usichukie kila kitu unachokutana nacho humu JF, vingine vifurahie tu hata km vinakuumiza ingawa kuna kitu utajifunza maana JF haikuachi hivi hivi kuna kitu tu lazima ubebe kichwani km chakula cha ubongo
 
Shenchonji ndio mbingu mpya na nchi mpya. YESU KRISTO ameshakuja, yuko Korea
Mathayo 24:24
Kwa maana watatokea Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, ikiwezekana, hata walio wateule.
 
kwamba unatumia Britain English hatutaelewa ok ni kwamba hakukua na haja ya kufanya hvo mbwa wewe
Pole sana.
1 Kor 6:9-10
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
 
Wewe wasema
 
Samahani mtumishi wewe ke au me
 
Naomba msaada hivi siku za mwisho waliofufuliwa na waliohai tutaenda kumlaki Bwana kuja duniani au kwenda mbinguni? Je Mungu atatengua uamuzi wake ktk neno la zab 115 mst 15-16
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…