Kwa wale watani wangu wahehe a.k.a wazee wakujitundika

ijoz

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
731
Reaction score
719
Kamwene....
Naanza kwa kudiclare interest kuwa wahehe ni watani zangu, hivyo hamna uwezo wa kunifanya lolote.
Swali langu ni kuwa, kwanini maeneo yenu mengi mkoani kwenu (Iringa), majina mengi ya maeneo yameanza na herufi I.
Mfano: Iringa yenyewe, Ipogoro, Ikokoto, Igumbilo, Ilula, Image, Ifunda,Idete,Idodi,Izazi...... mengine mtajaza wenyewe.
 
Kwa kweli nakusifu sana mtani kwa utafiti wa kiina kuhusu hilo: Kuna prestig nyuma ya hiyo herufi ukitamka "i" inaonyesha "that is the only place" yaani nashindwa nifafanue vipi.
 
ID yako pia ijoz...makasi be?
 
tehe tehee, nifundishe jinsi ya kujibu, bila shaka utakuwa unamaanisha za kazi au vipi mtani...?
 
Heee mtani si unajua sisi hatuna shobo bora tufe kuliko kudharauliawa. I maana yake the one and the only.upo mtani
 
Kamwene....
Naanza kwa kudiclare interest kuwa wahehe ni watani zangu, hivyo hamna uwezo wa kunifanya lolote.
Swali langu ni kuwa, kwanini maeneo yenu mengi mkoani kwenu (Iringa), majina mengi ya maeneo yameanza na herufi I.
Mfano: Iringa yenyewe, Ipogoro, Ikokoto, Igumbilo, Ilula, Image, Ifunda,Idete,Idodi,Izazi...... mengine mtajaza wenyewe.
Kamwene be. Mnoge. Majina hayo sio Iringa tu, hata Mbeya kwa Bujibuji yapo. Hebu mkumbushe haya:-
Igawa
Igurusi
Ilongo
Inyala
Itewe
Iwambi
Isanga
Ituha
Igawilo n.k.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli nakusifu sana mtani kwa utafiti wa kiina kuhusu hilo: Kuna prestig nyuma ya hiyo herufi ukitamka "i" inaonyesha "that is the only place" yaani nashindwa nifafanue vipi.

au ndio ile ipod, imac, iphone, ipad...
 
Kamwene....
Naanza kwa kudiclare interest kuwa wahehe ni watani zangu, hivyo hamna uwezo wa kunifanya lolote.
Swali langu ni kuwa, kwanini maeneo yenu mengi mkoani kwenu (Iringa), majina mengi ya maeneo yameanza na herufi I.
Mfano: Iringa yenyewe, Ipogoro, Ikokoto, Igumbilo, Ilula, Image, Ifunda,Idete,Idodi,Izazi...... mengine mtajaza wenyewe.

isije kuwa hata ijozi ni sehemu
 
Ha ha haaaaaaa!!! Na wewe mwenyewe IJOZ ... umeanza na I!!!!:behindsofa::behindsofa::behindsofa:
 
Back
Top Bottom