Kamwene....
Naanza kwa kudiclare interest kuwa wahehe ni watani zangu, hivyo hamna uwezo wa kunifanya lolote.
Swali langu ni kuwa, kwanini maeneo yenu mengi mkoani kwenu (Iringa), majina mengi ya maeneo yameanza na herufi I.
Mfano: Iringa yenyewe, Ipogoro, Ikokoto, Igumbilo, Ilula, Image, Ifunda,Idete,Idodi,Izazi...... mengine mtajaza wenyewe.
Bila shaka we unatokea aidha Itengule au kama sijakosea unatokea,Isimikinyi, Ibangi,
Kamwene be. Mnoge. Majina hayo sio Iringa tu, hata Mbeya kwa Bujibuji yapo. Hebu mkumbushe haya:-Kamwene....
Naanza kwa kudiclare interest kuwa wahehe ni watani zangu, hivyo hamna uwezo wa kunifanya lolote.
Swali langu ni kuwa, kwanini maeneo yenu mengi mkoani kwenu (Iringa), majina mengi ya maeneo yameanza na herufi I.
Mfano: Iringa yenyewe, Ipogoro, Ikokoto, Igumbilo, Ilula, Image, Ifunda,Idete,Idodi,Izazi...... mengine mtajaza wenyewe.
bwahahahhhahah! Nilijua tu!Hujakosea sana natokea itengulinyi...idimi
Kwa kweli nakusifu sana mtani kwa utafiti wa kiina kuhusu hilo: Kuna prestig nyuma ya hiyo herufi ukitamka "i" inaonyesha "that is the only place" yaani nashindwa nifafanue vipi.