Kwa wale watani wangu wahehe a.k.a wazee wakujitundika

Sikulijua hili kuna kitu apo ebu kamata wazee wa uko watakupa info za kutosha sana
 
Isakalilo, Igangidumu, idete naaaaaaaa...ndisemilwe nyeeee
 
Msijiulize sana karibuni iringa amani tele,vyakula kibao.kuna vitofu(viazi mviringo)mangamba(viazi vitamu) maboga,mapindigesi na kanyama ka mbwa japo viumbwa vyenyewe bado vidogooooo
 
Kamwene be. Mnoge. Majina hayo sio Iringa tu, hata Mbeya kwa Bujibuji yapo. Hebu mkumbushe haya:-
Igawa
Igurusi
Ilongo
Inyala
Itewe
Iwambi
Isanga
Ituha
Igawilo n.k.

isyesye
 
Last edited by a moderator:
Upo sahii xanaaaa hata mimi muhehe wa Iringa tena
Hujaandika maeneo mengine kama Ifwagi Isupilo Ikonongo Ipalamwa Ikongosi Isoka Isimani Igosi Ihimbo Ibofwe Ilembula Isakalilo Ilandutwa n.k
 
Idodomia, idaresalaam, imtwara tehe! Tehe!
 
Msijiulize sana karibuni iringa amani tele,vyakula kibao.kuna vitofu(viazi mviringo)mangamba(viazi vitamu) maboga,mapindigesi na kanyama ka mbwa japo viumbwa vyenyewe bado vidogooooo
Lukali-fya,dudwee,nyamusa,wi-gi-ngili,wi-nya-ma-pu-li-ki-lo,wiswaswa,i-nyalusi,ki-ha-na,magadu..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…