Kwa wale watu wa kikosi Maalum (Makomandoo) mliopo JamiiForums nitashukuru leo mkinijibu haya Maswali yangu yafuatayo

Kijana acha kuangalia movie sana, 🤣
Uliza maswali ya kusaidia kufungua kesi mahakamani kupinga tozo......
 
Huyu ni Gentamycin ndio mwandiko wake bonge la popoma
 
Hii itakuwa km movie ya Fast and Furious 9. Gari inapita kwenye kamba ya daraja
Hii movie nimeangalia km kichekesho.
Hao makomandoo ni roboti nini?
Dar es salaam kuna watu million 6 na zaidi wote wanaweza kutulizwa na Makomandoo 5 mpaka 7 tuu 😅😅😅
 
Dar es salaam kuna watu million 6 na zaidi wote wanaweza kutulizwa na Makomandoo 5 mpaka 7 tuu [emoji28][emoji28][emoji28]
Story za vijiweni hiz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Komandoo wakibaba baba[emoji1787][emoji1787]
 
1.)False✔️
2.)False✔️
3.)False✔️
4.)False✔️
5.)False✔️
6.)False✔️
7.)False✔️
8.)True✔️
9.)False✔️
10.)False✔️
11.)False✔️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…