Kwa wale watu wa kikosi Maalum (Makomandoo) mliopo JamiiForums nitashukuru leo mkinijibu haya Maswali yangu yafuatayo

We nawe mengine Kama hujui acha yakupite umeandika ujinga mtupu.
 
Kama kweli vile
 
Mleta Thread Upo Mkoa Gani?
Karibu Sana Morogoro Hapa Ujionee Hayo Uliyoyauliza
Morogoro Kuna Mengi Sana Hayo Uliyosema Ni Machache



SEAL TEAM Ya US Wanapatiwa Mafunzo Hapa [emoji28][emoji23]
Aje hapa MZINGA tumuonyeshe kwa vitendo.
 
Mbona mnateswa na Akina Kingai?
 
Point 8
Nyingine

Mmoja kati ya nilotoka nao tumbo moja Ni comando hakuna kilichobadirika kwake
Anawaheshimu wazee mtaani
Mambo ya kuripoti eti nani ajue yupo hakuna.
Amebadirisha mind set yangu kuwahusu Hawa watu
Kuna dogo pia ndugu wa mke wangu ni komandoo,mbona anaishi kawaida tuu.
 
Kule Temeke nadhani Pile bar,Kuna komando Aliya kisa jamaa alimtongoza demu wake.
 
Ugimbi
 
Makomando tupo wa aina nyingi mkuu kama vile makomando wa shida,Uchafu, Pesa sasa unaongelea makomando gani mkuu?
 
wapo makomandoo ila sio hawa wetu wa sasa iv,wamenenepeana....shoo zao wanavunja tofari lenye ratio ya mchanga mwingi sement kidogo pale taifa...wanapinda nondo ya milimita nne wanajiona wamepinda chuma..
Mkuu wewe ni mkandarasi nn ?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
 
Umenikumbusha mbali, kipindi niko Cuba nilipoanza hiyo course ya uchawi nilitaka kugoma, kilichonipata, siri yangu.
Pole .lakini ukiwa njema kichwani hata hayo Mauchawi hayana nafasi. Hapa simaanishi kuwa njema darasani hapana
 
Kwani GENTAMYCINE yeye alitoa maoni gani?
 
Hapo sasa ndipo Genta huwa namuona ni mshamba flani halafu mjinga. Maswali gani hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…