Kwa wale wenye fitina Rais Putin alishapewa baraka na wananchi kubakia Ikulu mpaka 2036

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827


Hii ilifanyika 2021​

The Russian president has signed legislation that gives him the right to run for two more consecutive terms. The constitutional amendment was approved by referendum last year.​

Russian President Vladimir Putin on Monday signed legislation that could theoretically mean he stays in power till 2036, according to a copy of the bill posted on the government's legal information portal.

Under the previous constitution, Putin, 68, who has already been in power for more than two decades, would have been required to have stepped down after his second consecutive term ends in 2024


NB. Mtasubiri sana
 
Ila wa magharibi wasichokijua ni kwamba Putin ni rais smart sana..lakini pia ni mtu mwenye huruma sana ukilinganisha na walioko nyuma yake(akina maldevdev hawa ni makatili wa kiwango cha juu)..

Putin akitaka kufanya jambo ni lazima atangulize tahadhali nyingi zinazochukua muda mrefu kutekeleza ili tu yule atakayemvamia ajirekebishe ili yasimkute ya kumkuta.. (refer ukraine na sasa Lithunia na Finland) hadi wanamsema ni rais mwenye mikwara kumbe anajaribu kutoa hadhari ili ikiwezekana mlengwa arekebishe tatizo kabla ya action.. nawahakikishia siku akiachia ngazi kama wamagharibi wanavyomwombea watakuja viongozi ambao hawana cha kutoa tahadhali wao ni kusongo mbele tu(wapo wengi sana nyuma yake).
 
Mungu fundi sana, kuna mwingine naye alijiandaa kurekebisha katiba ili aongeze muda wa kuongoza, ila haikutokea.
 
Kama ilivyo kwa chadema ,wanavyoona hakuna mtu mwingine anayefiti kuiongoza chadema isipokuwa mbowe peke yake.
 

Wananchi wamempa muda, je wanajua waaliyempa uhai kampa muda gani wa kuishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…