Hivi, hata wewe pia hujasoma hiyo taarifa imeletwa na mwenzako? Mbona leo Mnajifanya hamjui kusoma π π πWakenya mmeanza kupingana na wazungu mnao wasujudia tuliwaambia huu mwaka ukweli utatika kwa mabeberu wenyewe na kwa wakenya wenyewe msije sema mi ni nabii
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma taarifa alioweka joto la jiwe.Wakenya mmeanza kupingana na wazungu mnao wasujudia tuliwaambia huu mwaka ukweli utatika kwa mabeberu wenyewe na kwa wakenya wenyewe msije sema mi ni nabii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi thubutu kugusa hapo, lazima achange gear hewani kisa tu apingane na ukwelAtakujibu na Hahaha Hahaha zake
Wote wananitambua hao jamaa, huaga nawapa nawanyorosha sana..Huyu bongolala anakuanga mjinga kuruka. There's another one called ichoboy, yeye pia analetanga links ambazo hajui content inasemaje mwishowe anajiaibisha. Hawa wawili ni kama walizaliwa na baba mmoja
"Global reputal body" kweli nayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ninyi ni stupid na hamna akili kabisa, soma post #3 hapo juu kama sikujibu hilo swali lake, acheni kuweweseka Knight Frank is a global reputable body, ninyi watu wa Kibera mnaojisaidia katika mifuko ya plastic hamna uwezo hata 0.001% kuwakosoa. Tanzania imewazidi sana kwa matajiri, hamuwezi kushindana na Tanzania labda katika rushwa pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza na hesabu za 9000-500=2000 kwanza halafu tuendeleeAcha ujinga wewe, hiyo ripoti inasema by 2013, Tanzania ilikua na matajiri 5600, na wanaonfezeka kwa 51% kila mwaka, wakati Kenya mwaka 2013 ilikua na matajiri 8300 na kila mwaka walipungua, piga hesabu utapata jibu
Sent using Jamii Forums mobile app
LOL the current proper number of millionaires and billionaires in EA 2020This is s very shallow analysis. These natural resources you are flaunting here ni vitu zimekuwa Tanzania since time immemorial ila bado tuliwashinda Kwa idadi ya millionaires, GDP na per capita income. Do not talk as if madini ni kitu iligundulika Tanzania leo asubuhi
Because Kenya had lost about 500 millionaires per year, and Tanzania created About 800 per yearForget about the percentages, focus more on the numbers. The report clearly states that Kenya had 8,300 dollar millionaires in 2013 and was ranked the fourth in Africa after SA, Egypt and Nigeria. How come this number has dropped to 2,000 ukiondoa 500?
Jse kubwa kushinda Moscow? Proof?tuusan kuja uone Ile ripoti ya knight Frank haimake sense sasa Kenya itatokaje kua na millionaire 8500 Hadi sijui 150? Tanzania nayo inatoka kutoka Hadi 5600 Hadi 200? Na hii yoteni after 7yrs,yaani idadi ya millionaires kutoka SA itoke over 40k Hadi below 10k .... keep in mind JSE ni kubwa ata kushinda Moscow security exchange?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania had been creating many of them per year, while Kenya loses them, the report is Seif explanatory. You are at denial phase, take time soon you will get out of denial and accept the reality.tuusan kuja uone Ile ripoti ya knight Frank haimake sense sasa Kenya itatokaje kua na millionaire 8500 Hadi sijui 150? Tanzania nayo inatoka kutoka Hadi 5600 Hadi 200? Na hii yoteni after 7yrs,yaani idadi ya millionaires kutoka SA itoke over 40k Hadi below 10k .... keep in mind JSE ni kubwa ata kushinda Moscow security exchange?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wewe, sisi tulikua tunajenga "strong Foundation " ya nchi yetu kwanza, tulijua wazi kwamba bila kuwa na nchi iliyoimara huwezi kuwa na uchumi endelevu, baada ya kuhakikisha kwamba tunataifa imara lenye umoja, amani na mshikamano ndio tukaanza kushughulikia uchumi.This is s very shallow analysis. These natural resources you are flaunting here ni vitu zimekuwa Tanzania since time immemorial ila bado tuliwashinda Kwa idadi ya millionaires, GDP na per capita income. Do not talk as if madini ni kitu iligundulika Tanzania leo asubuhi
Hahahaha, hahahaha. Waulize Knight Frank. Tanzania hoyeeeeeKwa hivyo 8,300-500=2,000?
Hivyo ndo mnafundhishwa St. Kayumba?
Uchumi endelevu ni kuwafunga wapinzani[emoji1787][emoji1787]Acha ujinga wewe, sisi tulikua tunajenga "strong Foundation " ya nchi yetu kwanza, tulijua wazi kwamba bila kuwa na nchi iliyoimara huwezi kuwa na uchumi endelevu, baada ya kuhakikisha kwamba tunataifa imara lenye umoja, amani na mshikamano ndio tukaanza kushughulikia uchumi.
Ninyi mlioanza kujenga uchumi kwanza bila kujali kujenga umoja wa taifa lenu, mnaona kinachotokea?, nchi inasambaratika kwa misingi ya ukabila, insecurity, nepotism, corruption and terrorism, uchumi nao ndio hivyo unasambaratika tunawapita katika kila eneo
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahahaaa!!umeanza kuchangayikiwa[emoji1787][emoji1787]eti inashuka kila mwakawakati 2017 tayari hii hapa before tuingie 2018Tanzania had been creating many of them per year, while Kenya loses them, the report is Seif explanatory. You are at denial phase, take time soon you will get out of denial and accept the reality.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kunguru ya slum soma huu Uzi uone wanawake jasiri na makomando wa jwtz siyo wewe mumeo anamiliki banda ya mafii ya kuku slum wenyewe mnasema nyumba!!!Soma taarifa alioweka joto la jiwe.
Where is it written that Kenya lost 500 millionaires per year? And even if that's true, then how did it decrease to two thousand people over a period of seven years at the rate of 500 per year? Kweli wewe ni jinga type kabisaBecause Kenya had lost about 500 millionaires per year, and Tanzania created About 800 per year
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania hoyee indeed π π π π
Wololoooo...uchumi endelevu my foot[emoji1787][emoji1787]
This is s very shallow analysis. These natural resources you are flaunting here ni vitu zimekuwa Tanzania since time immemorial ila bado tuliwashinda Kwa idadi ya millionaires, GDP na per capita income. Do not talk as if madini ni kitu iligundulika Tanzania leo asubuhi