Sijapataaaa
Mi namdogo wangu toka azaliwe hajawahi kuongea,kutembea, wala kula mwenyewe na hata hakai ila anasikia je tatizo ni nini? Niambie ili nikutafute!
Ile sehemu imetuna vile halafu uiangalie kwa macho miezi sita? labda wangeeishi kwingine kila mtu then ingekua rahisi kuliko kulala kitanda kimoja
Sehemu gani tena hiyo iliyotuna ndugu yangu Balacuda?
siwezi kuitaja ila iko kwa KE
mimi pia sijawahi kushika mimba tangu nizaliwe licha ya kuwa nina mume na umri wangu unakaribia menopause. sijawahi kutoa mimba wala kutumia dawa za kuzuia mimba. Niko Kigoma. Je mimi pia waweza kunisaidia? Lakini pia nimeshahangaika sana bila mafanikio.

mliopata mafanikio leten ushuhuda basi!!!
Make sure matatizo ya uzazi uanzie hospital. Simkosoi mtoa mada ila wao wanakupa dawa bila kujua exactly unachoumwa.
Mwili wa binadamu ni kitu sensitive. Jua tatizo lako kwanza kwa kupima then uanze kutafuta tiba, mtakuja mpate complications zitakazopelekea kutolewa vizazi au kansa zinazoshamir kwa sasa
Mimi ni mmoja wapo, nimefarijika sana na lazima nitampa zawadi
Unapatikana dar sehemu gan?mm sijashika mimba tangu 2009 japo nilipima nikaambiwa sina tatizo kabisaa na picha ninayo nataka mtoto kupita maelezo mmewangu ananisumbua sana