Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

Mi namdogo wangu toka azaliwe hajawahi kuongea,kutembea, wala kula mwenyewe na hata hakai ila anasikia je tatizo ni nini? Niambie ili nikutafute!
 
Mkuu, siwezi kujuwa tatizo ni nini kwa mbali hivi, kama upo Dar nipigie 0714755582 umlete nimuone ndiyo nitajuwa cha kufanya. Pole sana.
 
Nitowe tu angalizo kwa wale ambao ni wagonjwa feki, mimi nimeshaolewa tayari, itumieni namba hii yangu kama unaumwa kweli na si kwa mambo mengine.

Karibuni.
 
Ile sehemu imetuna vile halafu uiangalie kwa macho miezi sita? labda wangeeishi kwingine kila mtu then ingekua rahisi kuliko kulala kitanda kimoja
 
Sehemu gani tena hiyo iliyotuna ndugu yangu Balacuda?
 
mimi pia sijawahi kushika mimba tangu nizaliwe licha ya kuwa nina mume na umri wangu unakaribia menopause. sijawahi kutoa mimba wala kutumia dawa za kuzuia mimba. Niko Kigoma. Je mimi pia waweza kunisaidia? Lakini pia nimeshahangaika sana bila mafanikio.
 
Naona Dr.anawagonjwa wengi mtwangie cmu.
 
mimi pia sijawahi kushika mimba tangu nizaliwe licha ya kuwa nina mume na umri wangu unakaribia menopause. sijawahi kutoa mimba wala kutumia dawa za kuzuia mimba. Niko Kigoma. Je mimi pia waweza kunisaidia? Lakini pia nimeshahangaika sana bila mafanikio.

Utapona tu, usikate tamaa, nipigie kwenye simu tuongee zaidi.
 
Make sure matatizo ya uzazi uanzie hospital. Simkosoi mtoa mada ila wao wanakupa dawa bila kujua exactly unachoumwa.
Mwili wa binadamu ni kitu sensitive. Jua tatizo lako kwanza kwa kupima then uanze kutafuta tiba, mtakuja mpate complications zitakazopelekea kutolewa vizazi au kansa zinazoshamir kwa sasa
 
Samahani kidogo, wagonjwa wangu kwanza nawaambia wapite hospitali kujiridhisha na vipimo ndipo huja kwangu kupewa dawa, pili wagonjwa wengi niliowatibu wamekiri kuwa dawa za hospitalini hazikuwasaidia mpaka walipotumia zangu.
 
Unapatikana dar sehemu gan?mm sijashika mimba tangu 2009 japo nilipima nikaambiwa sina tatizo kabisaa na picha ninayo nataka mtoto kupita maelezo mmewangu ananisumbua sana
 
Nipigie: +255 714 755 582
 
Back
Top Bottom