Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Nimekuja mbio nikajua nitajipatia muoaji huku kumbe mnataka binamu zenu..! Nimekuwa mpole ghafla
Khantwe wewe sio binamu yako njoo basi nitangaze
Nikikuambia Kaboom hana bahati unanibishiaNimekuja mbio nikajua nitajipatia muoaji huku kumbe mnataka binamu zenu..! Nimekuwa mpole ghafla
We badili heading bwana, kidogo nipige mueleka nikikimbia kufungua huu uzi nikasema sasa mume nimepata kumbe nehiii[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuja mbio nikajua nitajipatia muoaji huku kumbe mnataka binamu zenu..! Nimekuwa mpole ghafla
Hauna binamu?We badili heading bwana, kidogo nipige mueleka nikikimbia kufungua huu uzi nikasema sasa mume nimepata kumbe nehiii[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wewe hauna binamu?Sasa mbona unanicheka. Niache nipumzike kwanza maana sio kwa mbio zile
Hauna binamu?