Kwa wale wenye ndoto za kuowa tukutane hapa!

Kwa wale wenye ndoto za kuowa tukutane hapa!

[emoji3][emoji3][emoji3] ipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenza ndio comment gani hiyo umeandika[emoji85][emoji85][emoji85]
Aibu nimeona mimi.
 
Huu uzi uwe maalum kwa tunaotaka kuoa, hili la kuoa mabinamu nalo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wanyama wanatoa vilema sasA nyie sijui mtatoa Nini..
 
Mwanaume rijali kama mim kuoa ni muhim kwa mstakabali wa maisha yangu. Nikimpata tutapanga maisha, ila sasaaa yahitaji utulivuuu, kujipanga systematic ili kuwa mzazi bora kwa familia bora pia.
 
Back
Top Bottom