Kwa wale wenye ndoto za kuowa tukutane hapa!

Narudia tena kwa wale wenzangu na Mimi wenye ndoto za kuoa mabinamu zetu tukutane hapa!
Unajua raha ya kuoa binamu Mali haendi mbali na hakuna tatizo lolote la kuzulumiwa mtoto hata kama utasafiri miaka 25 bila kurudi
Tumia akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…