Kwa wale wenye umri wa miaka 50 na kuendelea unakumbuka jiji la Dar mwaka gani?

Tukiwa kidato cha Pili shule ya Jitegemee tuliomba turuhusiwe kuvaa SURUALE badala ya kaptura...Mkuu wa shule wakati huo akiwa Major Mkisi alitujibu siku yule Askari (Sanamu la bismini)akivaa suruale ataturuhusu na sisi tuvae.Kwetu hilo sanamu ni kumbukumbu tosha....Diamond hapana.
 
Zanzibar yetu, jiji letu, wakuja! !! Ubaguzi wa kiroho na kimsingi hapa duniani hakuna mwenye chake ila una muda wa kiviangalia na kuvitunza muda ukifika kaangalie na vingine huko ahera kama vipo! Na kama unaona ni vyako unaweza ku sustain hiyo hali uliyoitaka iendelee kuwepo kwa kuwa ni chako.
 

Je mwaka 1961 au mwaka 1970? Watu wengi watafeli hapo......

Duh Mkuu umenikumbusha mbali sana.. Hapo pembeni ya Haji Brothers kulikuwa na Bookshop matata sana enzi za miaka ya mwanzoni '70 naiona na makunganya street iliyoeleke Mbowe hotel (Kilimanjaro Bar) ambayo ulikuwa huwezi kuingia kama hujavaa tai, sasa vijana wanaingia Club Billicanas ...
 
Hongereni mliokula chumvi, na ahsanteni kwa kutupatia historia.
Historiya ndefu na taamu kupita makadirio ya fahamu zetu !! baadhi ya shule Breakfast na mid Lunch shuleni !!
Hospitali lipo file la familiya kuanzia mtoto wa mwanzo hadi wa tisa au kumi (kizazi bora na imara)!!
Elimu A~z english !! College na Universitez unapelekwa ulaya/US/CAD na majuu...(FOC)
Michezo ya viwango vyote na Ubingwa Tanganyika ilikuwa ikiongoza sub)sahara...
Politics tumeshika hadi baraza la Usalama na kugombea ukatibu mkuu UN!!
gari unamiliki kwa kuanzia Ts.500/-
Pikipiki scooter/vespa Ts 150/-
bysiceli Raleigh ts 30-45/- !!
Viwanja vya ndege, reli, madaraja za kimataifa na kudumu kusastain EarthQuake na disastours

WEE chezea British Coloni (wakoloni Mungu awabarikie na wadumu kuilinda Dunia hii forever)
Mkuu STORYz ni ndefu sana .....

MziziMkavu hebu mwaga picha bhana....
 
Jiji libaharibiwa na vijana wa UKAWA
Vijana wachafu kupindukia
 
Very interesting, wa dotcom tumepitwa na mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…