Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Mshukuru tulikuja, maana bila sisi darisalamu ingedororaMmetuchafulia jiji letu, mlipotokea mlikuwa hata vyoo hamvijui.
Enzi hizo tulikuwa tunawaleta kama manamba tu.
Naona unawazungumzia wakuja wakina Nyerere, Kunambi, Bonke, Rupia, Mwinyi, KikweteUmetupeleka mbali sana.
Hiyo ndiyo Dar yetu. Sasa imechafuliwa sana na wakuja.
Nani alikudanganya Mwinyi na Kikwete wakuja?Naona unawazungumzia wakuja wakina Nyerere, Kunambi, Bonke, Rupia, Mwinyi, Kikwete
Faza anasona la 31961
Ha ha ha!Faza anasona la 3
With due respect usinichokonoe hunijui sikujui so keep your distance from me. Mimi sio wa kuhadithiwa mambo ya mji huu!unapajuwa Tuwatugawe? unapajuwa kwa Pipino? unaujuwa mtaa wa Donge au Chura please kuwa na heshima Mzizima ina wenyewe na for your information neno sahihi la kiswahili fasaha siUmeadisiwa au uliona?
Mkuu Zamiluni mi nimesoma St Joseph Mwalimu wangu mkuu alikuwa Mrs Simkoko! Snow cream na Fish and Chips maeneo ya Shesh Mahal na Topaaz ndiyo anga zangu. Beano,Dandy,Topaaz ndiyo Comic zangu. Unataka ni kwambie kitu! sikukuu ya Idd nilikuwa natembelea wapi utotoni? Mji umeharibiwa! kidongo chekundu ndiyo maeneo yetu! Mnazi mmoja garden pamevurugwa hata chemchem hazirushi maji na samaki hakuna kwenye ile sanamu inatoka maji! Viatu nilivyokuwa navaa ni Prefect za Bata![emoji23] mi nilikuwa hodari wa kutengeneza kishada/tiara[emoji324]Ndugu , Mbona vipo tulivyovijenga na kustawisha....
MziziMkavu Mjuze ndg.yetu wapi anatogluo, maggott, kichwele ,New street, Independence avevue,Twiga,st.etein..Dar jaazi,sanderlandi(SSC) ,Cosmo nk nk..!!
mtebetini kumbe wee nae ulionja maziwa, biscuti na chocoleti za wakoloni ??
Kwani kutoka Mkuranga au Bagamoyo sio wa Kuja? Acha hizo weweNani alikudanganya Mwinyi na Kikwete wakuja?
Mwinyi kwao Mkuranga, Kikwete kwao Bwagamoyo, yote hiyo pamoja na Dar ilikuwa ni Coast Region enzi hizo.
Wee kiboko yao...Mkuu Zamiluni mi nimesoma St Joseph Mwalimu wangu mkuu alikuwa Mrs Simkoko! Snow cream na Fish and Chips maeneo ya Shesh Mahal na Topaaz ndiyo anga zangu. Beano,Dandy,Topaaz ndiyo Comic zangu. Unataka ni kwambie kitu! sikukuu ya Idd nilikuwa natembelea wapi utotoni? Mji umeharibiwa! kidongo chekundu ndiyo maeneo yetu! Mnazi mmoja garden pamevurugwa hata chemchem hazirushi maji na samaki hakuna kwenye ile sanamu inatoka maji! Viatu nilivyokuwa navaa ni Prefect za Bata![emoji23] mi nilikuwa hodari wa kutengeneza kishada/tiara[emoji324]
Lakini klabu yangu ni ile ya mitaa ya Mafia na Nyamwezi [emoji460]
Mi ni kama Robinson cruise
Namshukuru Mwenyezi Mungu nimeona mengi alhamdulillahi.
Hakuna shida !! YOU still can play your Role...Very interesting, wa dotcom tumepitwa na mengi
Al-hamdulilahi kiasi namshukuru Mwenyezi Mungu mji kidogo naufahamu naona umeweka picha ya M1 garden,zamani tulikuwa tunakatiza hapo kwenye sanamu ya mpiga ngoma geti la kutokea kwa Pilu siku hizi wamefunga mageti yote hakuna kupita!Wee kiboko yao...
AiSayee... "al-Hamdulillaah nimeDiscover GOLD tena Gold hapa JF wewe mtebetini "
kumbe ni wee ni born city (wa cityboz) !???!
Yaani kote hapo wapataja mie nilikuwa nikishikwa mkono na kuburutwa... yaani hapo M/1 ndo home!!
View attachment 350080
Kabis mkuu!! tuliianzisha hiyo timu// mie nikaihama nikaenda Congo untd, alafu Red Star na karudia Pan-Afrika!! acha bhana sikuacha viwanja (njo nikuoneshe medali na vikombe vimejaa kabatini)!!! Old Golden Days!!Al-hamdulilahi kiasi namshukuru Mwenyezi Mungu mji kidogo naufahamu naona umeweka picha ya M1 garden,zamani tulikuwa tunakatiza hapo kwenye sanamu ya mpiga ngoma geti la kutokea kwa Pilu siku hizi wamefunga mageti yote hakuna kupita!
Kama M1 ndiyo home basi Gerezani itakuwa yako na unaenda kucheza mazoezi shule ya kisarawe kwenye timu ya Gerezani united ya kina Isihaka Kibene.
Mkuu hiyo Bookshop bado ipo mpaka leo Dar-es-salaam Book shop na mgahawa uliokuwa opp. ya Mbowe ni Cosy Cafe sasa hivi pamepoteza picha ya miaka ya 70'sDuh Mkuu umenikumbusha mbali sana.. Hapo pembeni ya Haji Brothers kulikuwa na Bookshop matata sana enzi za miaka ya mwanzoni '70 naiona na makunganya street iliyoeleke Mbowe hotel (Kilimanjaro Bar) ambayo ulikuwa huwezi kuingia kama hujavaa tai, sasa vijana wanaingia Club Billicanas ...
Kumbe unafahamiana na kina Bobeya,Mussa Simba na Eddie Manji ndugu yake Machismo? na Congo united ulicheza na kina Leny Simba (Obua) na Feruzi? Red Star kiongozi akiwa Mzee Lumelezi au Kesi Mjinga? Pan Africa unanitia wasiwasi kama ulikuja kwa sababu wee Abijo! [emoji13] [emoji12] maana Mzee Mangara Tabu asingekukubaliKabis mkuu!! tuliianzisha hiyo timu// mie nikaihama nikaenda Congo untd, alafu Red Star na karudia Pan-Afrika!! acha bhana sikuacha viwanja (njo nikuoneshe medali na vikombe vimejaa kabatini)!!! Old Golden Days!!
MziziMkavu hebu mwaga vya 70s
Aisaee wee hatari mkuu!! wote hao umenikumbusha mbaaaaali!! nashukuru mie nilikubalika kwa wote... aisaee naona wengine hapo marehemu eenh!!Kumbe unafahamiana na kina Bobeya,Mussa Simba na Eddie Manji ndugu yake Machismo? na Congo united ulicheza na kina Leny Simba (Obua) na Feruzi? Red Star kiongozi akiwa Mzee Lumelezi au Kesi Mjinga? Pan Africa unanitia wasiwasi kama ulikuja kwa sababu wee Abijo! [emoji13] [emoji12] maana Mzee Mangara Tabu asingekukubali
Mkuu Zamiluni Zamiluni jamaa zetu hao niliyowataja Eddie yupo hai ila anaishi USA,Bobeya,Mussa Simba,Feruzi,Machismo wapo hai na wote naonana nao kasoro Eddie ila taarifa zake nazipata kupitia kwa swahib yake mkubwa Owite ambaye nae yupo UK.Aisaee wee hatari mkuu!! wote hao umenikumbusha mbaaaaali!! nashukuru mie nilikubalika kwa wote... aisaee naona wengine hapo marehemu eenh!!
Walotangulia Moula-karim awarehemu nasi tulobaki mgongoni mwa ardhi hii tuwe chini ya Rehemza zake!! (nakushukuru kwa taarifa muhimu)Mkuu Zamiluni Zamiluni jamaa zetu hao niliyowataja Eddie yupo hai ila anaishi USA,Bobeya,Mussa Simba,Feruzi,Machismo wapo hai na wote naona nao kasoro Eddie ila taarifa zake nazipate kupitia kwa swahib yake mkubwa Owite ambaye nae yupo UK.
Wazee wetu Mzee Lumelezi,Mzee Mangara Tabu na kessi Mjinga wametangulia mbele ya haki.