BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mie nimeshangazwa na usafi hasa kwenye hiyo picha ya kwanza na jiji kutokuwa na watu.
Jiji lilikua linavutia sana wakati huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiji lilikua linavutia sana wakati huo.
Hapo ndiyo pale sasa wanafanya sherehe za mashujaa, opposite na Cooperative Building, Kidongo Chekundu. Maarufu "Garden".
Shikamoo mkubwaWith due respect usinichokonoe hunijui sikujui so keep your distance from me. Mimi sio wa kuhadithiwa mambo ya mji huu!unapajuwa Tuwatugawe? unapajuwa kwa Pipino? unaujuwa mtaa wa Donge au Chura please kuwa na heshima Mzizima ina wenyewe na for your information neno sahihi la kiswahili fasaha si
umeadisiwa =umehadithiwa
Zamiluni Zamiluni thanks huyu jamaa yako aliyeni-tag akiutaja mtaa wa New Street upo wapi leo hii uni pm nikutumie laki umzawadie it's a promise!
AmiinWalotangulia Moula-karim awarehemu nasi tulobaki mgongoni mwa ardhi hii tuwe chini ya Rehemza zake!! (nakushukuru kwa taarifa muhimu)
tena utuletee tuzitafakari .... good luckNina picha nyingi toka kwa Marehemu Bibi wacha nikazicheki..
Mkolini mweupe ndo alikuwepo..Mie nimeshangazwa na usafi hasa kwenye hiyo picha ya kwanza na jiji kutokuwa na watu.
Duh ZZ naona stori za 60s na 70s zimemvuta kaka Mtebetini.Mzizi Mkavu Ubarikiwe Mkuu
Miaka ya 70s nilikuwa nakuja Dar Toka Dom
Na reli,mabasi ya Kamata Na mabasi ya railways wakati huo Shaban Robert secondary ilikuwa secondary kweli
Haya ongezea mkia
Mie nimeshangazwa na usafi hasa kwenye hiyo picha ya kwanza na jiji kutokuwa na watu.
Mkuu Zamiluni mi nimesoma St Joseph Mwalimu wangu mkuu alikuwa Mrs Simkoko! Snow cream na Fish and Chips maeneo ya Shesh Mahal na Topaaz ndiyo anga zangu. Beano,Dandy,Topaaz ndiyo Comic zangu. Unataka ni kwambie kitu! sikukuu ya Idd nilikuwa natembelea wapi utotoni? Mji umeharibiwa! kidongo chekundu ndiyo maeneo yetu! Mnazi mmoja garden pamevurugwa hata chemchem hazirushi maji na samaki hakuna kwenye ile sanamu inatoka maji! Viatu nilivyokuwa navaa ni Prefect za Bata![emoji23] mi nilikuwa hodari wa kutengeneza kishada/tiara[emoji324]
Lakini klabu yangu ni ile ya mitaa ya Mafia na Nyamwezi [emoji460]
Mi ni kama Robinson cruise
Namshukuru Mwenyezi Mungu nimeona mengi alhamdulillahi.
1967 nikiwa form one....how old were you..?Hapo ndiyo pale sasa wanafanya sherehe za mashujaa, opposite na Cooperative Building, Kidongo Chekundu. Maarufu "Garden".
pana fumbo hapa, wakuja kinanani?Umetupeleka mbali sana.
Hiyo ndiyo Dar yetu. Sasa imechafuliwa sana na wakuja.
Muhaji mukiKwa faida ya wadau nimeona niyatoe majina kwa ukamilifu.
GM - Gordian Mapango
CK - Charles Kilinda
RM - Roma Mapunda
SMC - Salum Mwinyimkuu Carlos
JM - Jella Mtagwa
KM - Kitwana Manara (Popat)
KM - Kassim Manara
SM - Sunday Manara (Kompyuta)
IK - Ibrahim Kiswabi
JPM - Juma Pondamali Mensah
MRA -Mohammed Rishard Adolf
PT - Peter Tino
MM - Mohamed Mkweche
Kama nimesahau wengine naomba mwongezee.
Muhaji muki
Mohamed yahya tostao
Kaka Mtebetini kama hiyo ndio ilikuwa mitaa yako basi itakuwa nimekuona mtaa wa Kipata Kwa mzee Abdulrahmani Miaka hiyo ya 70
Pamoja sana ndugu yanguAsante sana.Umenikumbusha mdau! Safi sana! Hao walikuwa hatari langoni mwa adui.
Wajanja walikuwa bado kuingia mjini. Uzazi wa mpango ulikuwepo sio sasa tumekuwa wengi isipo Wahindi walikuwa wengi sana mjini miaka ya late 70s na 80s Wengine tulikuwa shule za awaliMie nimeshangazwa na usafi hasa kwenye hiyo picha ya kwanza na jiji kutokuwa na watu.