Wajanja walikuwa bado kuingia mjini. Uzazi wa mpango ulikuwepo sio sasa tumekuwa wengi isipo Wahindi walikuwa wengi sana mjini miaka ya late 70s na 80s Wengine tulikuwa shule za awali
Mkuu nadhani itakuwa ni Bustan ya Mnazi mmoja tu Zamani kweli kulikuwa na Samaki hapo watoto wa kariakoo ndio waliichafua na walikuwa wana wavua Samaki mlinzi akiwa side nyingine au akiwa amelala iliianza kuchafuka Samaki wakaisha maji yakawa yanachutama ikinyesha mvua tu yanakauka polepole yakiwa ni machafu ajabu kuna kipindi omba omba wakahamia humo and then ikafa kibudu na palikuwa na Bar eneo la karibu hapo ya kizushi.Wakuu Mtebetini,FaizaFoxy,Mzizi mkavu na wakongwe wengine, kati ya mwaka 1967 hadi 1968 nikiwa na babayangu mkubwa tulipita sehemu fulani tukaona samaki (perege) wapo chini yaani kuna bwawa chini ya ardhi , ila mdomo wa hilo bwawa ni kadri ya kipimo cha mita moja kwa mita moja. Hilo bwawa ni la simenti yaani zege kwa juu, tafadhalini nikumbusheni ni wapi palikuwa? Ni mnazi mmoja au wapi?
Mar'habaa kiongozi karibu tafadhali ukubwa jalalaShikamoo mkubwa
Bro mgogoone anazungumzia mtaa wa kipata na Sikukuu kwa kina shamimu?Kaka Mtebetini kama hiyo ndio ilikuwa mitaa yako basi itakuwa nimekuona mtaa wa Kipata Kwa mzee Abdulrahmani Miaka hiyo ya 70
Picha ya tarehe 28/02/2017 mtaa Nkurumah ukitokea clock tower [emoji116]Hiyo View ya left side ukiipata muonekano ndio unakuwa kama huo kwenye picha ya kale
Mbona unajitoa akili? Ukawa wa jana ndiyo wakaharibu miundo mbinu na kuondoa ufuataji wa mipango miji na sheria zake? Ebu tuache utani kwa mambo makini.Jiji libaharibiwa na vijana wa UKAWA
Vijana wachafu kupindukia
Umeadisiwa au uliona?
Faiza katika michango yako mingi nimekuona kama mtoto wa jana kumbe humo!Wakati huo si unaona Barabara hata vumbi wala kipande cha sigara hukuti. Ni hivyo hivyo hata mitaa yetu ya Kariakoo kwa siku hizo. 1967 ndiyo kila kitu kikaanza kuvurugika.
Mkuu Hii Picha kaipige ukiwa unatokea Mnara wa Saa kijengo cha National Tyre kionekane na hiyo Petrol Station ikiwa inachungulia.Total Ndie Mkongwe aliyebakia katika Makampuni ya Mafuta.[quote uid=299301 name="mtebetini" post=19916030]Mkuu nimekuelewa ulichosema ila kuuliza si ujinga kaulize kwapicha ya 2017 Chox[emoji115]
Daa umenikumbusha kwetu, Sio kwa kucheza chandimu vile, uwanja wetu uliitwa mitimiti hapo pembeni ya hospital ya Mnazi mmoja.Wee kiboko yao...
AiSayee... "al-Hamdulillaah nimeDiscover GOLD tena Gold hapa JF wewe mtebetini "
kumbe ni wee ni born city (wa cityboz) !???!
Yaani kote hapo wapataja mie nilikuwa nikishikwa mkono na kuburutwa... yaani hapo M/1 ndo home!!
View attachment 350080
Daaa enzi hizo natoka kwetu Mahiwa st napiga misele kitaa hiyo na magari ya mbao ahhaha. Tumetoka mbali.
Hapo ni mnazi mmoja ghorofa linalooneka upande wa kulia opposite kuna mnara wa mashuja watoto wa mji nani anakumbuka Bar maarufu iliyokuwa kwenye ghorofa hilo?
MziziMkavu
Zamiluni Zamiluni
Mitaa yangu ya kujidai zamani. Sasa hivi fujo tupu.Mkuu upo Dar? Kama upo Dar pita hilo eneo mchana wa kesho piga picha kisha ilete hapa hiyo view ya kutokea mnara wa saa kulia mwa picha hayo majengo ni tofauti na picha ya kale.
Hebu tazama hii picha nyingine ya jana
Angalia mpaka nguzo za umeme bado ni zilezile za kale [emoji15] [emoji15]
Mkuu Nasrimgambo
jengo lilopakana na sheli ktk picha ya kale limefanana xaidi na lenye kupakana ktk pic hii
kwahiyo haina ubishi hiyo ni uhuru sio nkrumah
Mgambo wa mchikichi?Mkuu Nasrimgambo
Ahsante kwa kutoa ufafanuzi wako nadhani Mkuu Mlaleo atakuelewa.
Mkuu Bantu garageTukiwa kidato cha Pili shule ya Jitegemee tuliomba turuhusiwe kuvaa SURUALE badala ya kaptura...Mkuu wa shule wakati huo akiwa Major Mkisi alitujibu siku yule Askari (Sanamu la bismini)akivaa suruale ataturuhusu na sisi tuvae.Kwetu hilo sanamu ni kumbukumbu tosha....Diamond hapana.
Mkuu Zamiluni mi nimesoma St Joseph Mwalimu wangu mkuu alikuwa Mrs Simkoko! Snow cream na Fish and Chips maeneo ya Shesh Mahal na Topaaz ndiyo anga zangu. Beano,Dandy,Topaaz ndiyo Comic zangu. Unataka ni kwambie kitu! sikukuu ya Idd nilikuwa natembelea wapi utotoni? Mji umeharibiwa! kidongo chekundu ndiyo maeneo yetu! Mnazi mmoja garden pamevurugwa hata chemchem hazirushi maji na samaki hakuna kwenye ile sanamu inatoka maji! Viatu nilivyokuwa navaa ni Prefect za Bata![emoji23] mi nilikuwa hodari wa kutengeneza kishada/tiara[emoji324]
Lakini klabu yangu ni ile ya mitaa ya Mafia na Nyamwezi [emoji460]
Mi ni kama Robinson cruise
Namshukuru Mwenyezi Mungu nimeona mengi alhamdulillahi.
Dah !snow cream topaz hotel /restaurant hatare !mom and dad walitu spoil sana outing ,halafu kulikuwa na ki restaurant wanapika burian na variety nyingine cha wahindi matata sana maeneo ya avalon sijui ndio shesh mahal tushaenda sana as afamily enzi hizo mdingi una to spoil wikiends! Dinner or lunch out!Mkuu Zamiluni mi nimesoma St Joseph Mwalimu wangu mkuu alikuwa Mrs Simkoko! Snow cream na Fish and Chips maeneo ya Shesh Mahal na Topaaz ndiyo anga zangu. Beano,Dandy,Topaaz ndiyo Comic zangu. Unataka ni kwambie kitu! sikukuu ya Idd nilikuwa natembelea wapi utotoni? Mji umeharibiwa! kidongo chekundu ndiyo maeneo yetu! Mnazi mmoja garden pamevurugwa hata chemchem hazirushi maji na samaki hakuna kwenye ile sanamu inatoka maji! Viatu nilivyokuwa navaa ni Prefect za Bata![emoji23] mi nilikuwa hodari wa kutengeneza kishada/tiara[emoji324]
Lakini klabu yangu ni ile ya mitaa ya Mafia na Nyamwezi [emoji460]
Mi ni kama Robinson cruise
Namshukuru Mwenyezi Mungu nimeona mengi alhamdulillahi.