Kwa wale wenye umri wa miaka 50 na kuendelea unakumbuka jiji la Dar mwaka gani?

Kwa wale wenye umri wa miaka 50 na kuendelea unakumbuka jiji la Dar mwaka gani?

Wajanja au mafisadi. Hii ilikuwa Tanzania njema iliyojaa upendo miongoni mwa raia wake na siyo hii ya leo ambapo baadhi ya raia wana chuki za kutisha dhidi ya raia wenzao.

Wajanja walikuwa bado kuingia mjini. Uzazi wa mpango ulikuwepo sio sasa tumekuwa wengi isipo Wahindi walikuwa wengi sana mjini miaka ya late 70s na 80s Wengine tulikuwa shule za awali
 
kuna haja ya wadau kutengeneza documentary maalum ya historia ya mji wa dar. ihusishe mazungumzo, na watoto walokulia huko na wazee waloishi huko, na picha mbalimbali, itavutia sana.
wahusika waangalie hilo kama linawezekanika
 
na kwanini mji mkubw kama dar hauna makumbusho maalum ya jiji, mana makumbusho yalokuwepo ni ya taifa, na ya kijiji hayahifadhi historia nzuri ya jiji lenyewe, viongozi wa mji wako wapi
 
Wakuu Mtebetini,FaizaFoxy,Mzizi mkavu na wakongwe wengine, kati ya mwaka 1967 hadi 1968 nikiwa na babayangu mkubwa tulipita sehemu fulani tukaona samaki (perege) wapo chini yaani kuna bwawa chini ya ardhi , ila mdomo wa hilo bwawa ni kadri ya kipimo cha mita moja kwa mita moja. Hilo bwawa ni la simenti yaani zege kwa juu, tafadhalini nikumbusheni ni wapi palikuwa? Ni mnazi mmoja au wapi?
Mkuu nadhani itakuwa ni Bustan ya Mnazi mmoja tu Zamani kweli kulikuwa na Samaki hapo watoto wa kariakoo ndio waliichafua na walikuwa wana wavua Samaki mlinzi akiwa side nyingine au akiwa amelala iliianza kuchafuka Samaki wakaisha maji yakawa yanachutama ikinyesha mvua tu yanakauka polepole yakiwa ni machafu ajabu kuna kipindi omba omba wakahamia humo and then ikafa kibudu na palikuwa na Bar eneo la karibu hapo ya kizushi.

Mkuu ila hiyo miaka unayotaja umakata age si mchezo... Kudadeki
dscf0062.jpg
dscf0063.jpg
 
Kaka Mtebetini kama hiyo ndio ilikuwa mitaa yako basi itakuwa nimekuona mtaa wa Kipata Kwa mzee Abdulrahmani Miaka hiyo ya 70
Bro mgogoone anazungumzia mtaa wa kipata na Sikukuu kwa kina shamimu?
 
[quote uid=299301 name="mtebetini" post=19916030]Mkuu nimekuelewa ulichosema ila kuuliza si ujinga kaulize kwa
5f749b2f4f4371cb74cee86dea0c47b0.jpg
picha ya 2017 Chox[emoji115][/QUOTE]Mkuu Hii Picha kaipige ukiwa unatokea Mnara wa Saa kijengo cha National Tyre kionekane na hiyo Petrol Station ikiwa inachungulia.Total Ndie Mkongwe aliyebakia katika Makampuni ya Mafuta.
Hiyo View ya left side ukiipata muonekano ndio unakuwa kama huo kwenye picha ya kale
Picha ya tarehe 28/02/2017 mtaa Nkurumah ukitokea clock tower [emoji116]
41cbec6f82a60d71aa5edd10fccc3b1a.jpg

Picha ya kale[emoji116]
6fcd665bd2605d425a0647228ea61851.jpg


Mlaleo angalia hiyo view niliyopiga kama ulivyo omba nikitokea clock tower utaona tofauti.unaona jengo la Chox ambalo lipo mpaka leo halipo kwenye picha ya kale.
Umeona opposite national tyre ni Chox.
 
Wakati huo si unaona Barabara hata vumbi wala kipande cha sigara hukuti. Ni hivyo hivyo hata mitaa yetu ya Kariakoo kwa siku hizo. 1967 ndiyo kila kitu kikaanza kuvurugika.
Faiza katika michango yako mingi nimekuona kama mtoto wa jana kumbe humo!
 
[quote uid=299301 name="mtebetini" post=19916030]Mkuu nimekuelewa ulichosema ila kuuliza si ujinga kaulize kwa
5f749b2f4f4371cb74cee86dea0c47b0.jpg
picha ya 2017 Chox[emoji115]
Mkuu Hii Picha kaipige ukiwa unatokea Mnara wa Saa kijengo cha National Tyre kionekane na hiyo Petrol Station ikiwa inachungulia.Total Ndie Mkongwe aliyebakia katika Makampuni ya Mafuta.

Picha ya tarehe 28/02/2017 mtaa Nkurumah ukitokea clock tower [emoji116]
41cbec6f82a60d71aa5edd10fccc3b1a.jpg

Picha ya kale[emoji116]
6fcd665bd2605d425a0647228ea61851.jpg


Mlaleo angalia hiyo view niliyopiga kama ulivyo omba nikitokea clock tower utaona tofauti.unaona jengo la Chox ambalo lipo mpaka leo halipo kwenye picha ya kale.
Umeona opposite national tyre ni Chox.[/QUOTE]
pamefanana tu ila sio hapo tazama vizuri jengo lililopakana na sheli ktk pic yako ya nkrumah litifauti kidogo ktk picha ya zamani
ila jengo lililopakana na sheli linashabihiana zaidi baina ya ile picha ya uhuru/kichwele na hilo ktk pic ya kale
 
f9c5c29867c02b67ee3899f25408af2a.jpg


jengo lilopakana na sheli ktk picha ya kale limefanana xaidi na lenye kupakana ktk pic hii
kwahiyo haina ubishi hiyo ni uhuru sio nkrumah
 
Wee kiboko yao...

AiSayee... "al-Hamdulillaah nimeDiscover GOLD tena Gold hapa JF wewe mtebetini "
kumbe ni wee ni born city (wa cityboz) !???!
Yaani kote hapo wapataja mie nilikuwa nikishikwa mkono na kuburutwa... yaani hapo M/1 ndo home!!
images
View attachment 350080
Daa umenikumbusha kwetu, Sio kwa kucheza chandimu vile, uwanja wetu uliitwa mitimiti hapo pembeni ya hospital ya Mnazi mmoja.
 
403108171589b2642597af177ec05071.jpg

Hapo ni mnazi mmoja ghorofa linalooneka upande wa kulia opposite kuna mnara wa mashuja watoto wa mji nani anakumbuka Bar maarufu iliyokuwa kwenye ghorofa hilo?
MziziMkavu
Zamiluni Zamiluni
Daaa enzi hizo natoka kwetu Mahiwa st napiga misele kitaa hiyo na magari ya mbao ahhaha. Tumetoka mbali.
 
Mkuu upo Dar? Kama upo Dar pita hilo eneo mchana wa kesho piga picha kisha ilete hapa hiyo view ya kutokea mnara wa saa kulia mwa picha hayo majengo ni tofauti na picha ya kale.
Hebu tazama hii picha nyingine ya jana
2083a47bd48499d16324888e3f0abcac.jpg

c7281619d4b00abd5a66b6259185ed35.jpg

34d5a3af42ad94169b65264f6576f5b0.jpg

Angalia mpaka nguzo za umeme bado ni zilezile za kale [emoji15] [emoji15]
Mitaa yangu ya kujidai zamani. Sasa hivi fujo tupu.
 
f9c5c29867c02b67ee3899f25408af2a.jpg


jengo lilopakana na sheli ktk picha ya kale limefanana xaidi na lenye kupakana ktk pic hii
kwahiyo haina ubishi hiyo ni uhuru sio nkrumah
Mkuu Nasrimgambo
Ahsante kwa kutoa ufafanuzi wako nadhani Mkuu Mlaleo atakuelewa.
 
Tukiwa kidato cha Pili shule ya Jitegemee tuliomba turuhusiwe kuvaa SURUALE badala ya kaptura...Mkuu wa shule wakati huo akiwa Major Mkisi alitujibu siku yule Askari (Sanamu la bismini)akivaa suruale ataturuhusu na sisi tuvae.Kwetu hilo sanamu ni kumbukumbu tosha....Diamond hapana.
Mkuu Bantu garage
Angalia sanamu enzi hizo za zamani za kale
7bb1f5a576baf7636f04d918153101dc.jpg
 
Mkuu Zamiluni mi nimesoma St Joseph Mwalimu wangu mkuu alikuwa Mrs Simkoko! Snow cream na Fish and Chips maeneo ya Shesh Mahal na Topaaz ndiyo anga zangu. Beano,Dandy,Topaaz ndiyo Comic zangu. Unataka ni kwambie kitu! sikukuu ya Idd nilikuwa natembelea wapi utotoni? Mji umeharibiwa! kidongo chekundu ndiyo maeneo yetu! Mnazi mmoja garden pamevurugwa hata chemchem hazirushi maji na samaki hakuna kwenye ile sanamu inatoka maji! Viatu nilivyokuwa navaa ni Prefect za Bata![emoji23] mi nilikuwa hodari wa kutengeneza kishada/tiara[emoji324]
Lakini klabu yangu ni ile ya mitaa ya Mafia na Nyamwezi [emoji460]
Mi ni kama Robinson cruise
Namshukuru Mwenyezi Mungu nimeona mengi alhamdulillahi.

AlhamduliLlah, hayo ndiyo niyajuayo mimi na ndiyo tuliyokulia wa enzi hizo. Umenipeleka mbali sana kwa akina Billy Whiz.

Naam, kabla ya kidongo chekundu Eid tukila Mnazimmoja ambapo sasa kuna mnara sijui wa nini ule? Likajengwa banda la Tombola la mabati.

Dah, umenikumbusha "fish and chips", tukienda kupata "mixed grill" baadae nikakuta pamekuwa bar. Licha ya Snow Cream, pale pembeni ya Avalon kulikuwa na Alechino, nao wataalam wa Ice Cream, nnakumbuka tukienda kula "kasata".

Umenipeleka mbali sana.
 
Mkuu Zamiluni mi nimesoma St Joseph Mwalimu wangu mkuu alikuwa Mrs Simkoko! Snow cream na Fish and Chips maeneo ya Shesh Mahal na Topaaz ndiyo anga zangu. Beano,Dandy,Topaaz ndiyo Comic zangu. Unataka ni kwambie kitu! sikukuu ya Idd nilikuwa natembelea wapi utotoni? Mji umeharibiwa! kidongo chekundu ndiyo maeneo yetu! Mnazi mmoja garden pamevurugwa hata chemchem hazirushi maji na samaki hakuna kwenye ile sanamu inatoka maji! Viatu nilivyokuwa navaa ni Prefect za Bata![emoji23] mi nilikuwa hodari wa kutengeneza kishada/tiara[emoji324]
Lakini klabu yangu ni ile ya mitaa ya Mafia na Nyamwezi [emoji460]
Mi ni kama Robinson cruise
Namshukuru Mwenyezi Mungu nimeona mengi alhamdulillahi.
Dah !snow cream topaz hotel /restaurant hatare !mom and dad walitu spoil sana outing ,halafu kulikuwa na ki restaurant wanapika burian na variety nyingine cha wahindi matata sana maeneo ya avalon sijui ndio shesh mahal tushaenda sana as afamily enzi hizo mdingi una to spoil wikiends! Dinner or lunch out!
 
Back
Top Bottom