Kwa wale wenye upungufu wa nguvu za kiume, kuleni Lozi na maziwa kila siku

Utajuaje ni nechalo au atifisho?

Zipo zinazolimwa ndani na zinazoagizwa...issue yake ni hizo fatts tu but it works well. Hata hizo fatts naambiwazina Omega 3 ya kueleweka kwahiyo zinafaa kwa kuweka vizuri ubongo
 
Hizo lozi ni nini aiseee au mondi sivijui kabisa yaani... Embu nielewesheni jamani
 
Lozi tunda, nazipenda sana. Ila wanadai ukila nyingi kwa wakati mmoja unalewa. Je, hili ni kweli Mzizi mkavu?
 
Last edited by a moderator:
Hizo lozi ni nini aiseee au mondi sivijui kabisa yaani... Embu nielewesheni jamani

Lozi ni kama njugu hivi hupatikana sana kwa watu wa pwani, huku bara sijaziona. Ila tafuta kwenye maduka ya dawa za asili
 
Jiulize mbona tatizo liko town too
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…