Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njugu, karanga,ndizi,kitunguu saumu,kitungu maji chekundu na asali.Huku kwetu katavi hizo almonds tunaziona kwenye picha tu, nini mbadala wake?
Njugu, karanga,ndizi,kitunguu saumu,kitungu maji chekundu na asali.
Kuwa ghali Lozi (Almond) ndio kumeifanya iwe na thamani na ndio Dawa inakuwa ni ghali dawa ikiwa bei Rahisi sio dawa hiyo kaka.Lozi zenyewe bei kali!!!
Kuwa ghali Lozi (Almond) ndio kumeifanya iwe na thamani na ndio Dawa inakuwa ni ghali dawa ikiwa bei Rahisi sio dawa hiyo kaka.
zunapatikana pande zpi?
Kwenye supermarket
Utajuaje ni nechalo au atifisho?
Hizo lozi ni nini aiseee au mondi sivijui kabisa yaani... Embu nielewesheni jamani
Kuwa ghali Lozi (Almond) ndio kumeifanya iwe na thamani na ndio Dawa inakuwa ni ghali dawa ikiwa bei Rahisi sio dawa hiyo kaka.