Kwa wale wenye uzito wa kilo 90 kwenda juu tukutane hapa

sasa alipunguaje kwa kula wali ?
Alipungua kwa kua alikua anafanya na mazoezi mengine pia (yeye ni martial artist). Kuangalia ufanano wake mtazame kwenye Meals on Wheels na hiyo Eastern Condors.
 
Sipati picha kwenye huu uzi ingekuwa live nipo ndani ya hawa vibonge ingekuwa kichekesho kwa nilivyokimbaumbau.
 
kede ke
kedekede 96kgs lakini uzito unaendana na height naskia!
 
Hadi unafikia 90kg's ulikuwa wapi?
Hizi shida nyingine mnajitakia tu aisee
 
Mi nashauri tuanzishe group watsap and tujadiliane uko naomba nianza kwa kutoa namba yangu 0769468965..nitumieni namba zenu nitafungua group kwa kushirikiana na miss natafuta ikiwezekana tutaanzisha na jonging club kwa wakazi wa Dar..karibu wote..namba mnitext namba msiandike hapa naweza nisione..text neno "Uzito" kuja kwenye namba yangu itstosha.!!
 
Japokuwa hii thread imekaa kimcharuko mcharuko,nimeipenda.
Mama,chukua gwara hizo.
 
Sipati picha kwenye huu uzi ingekuwa live nipo ndani ya hawa vibonge ingekuwa kichekesho kwa nilivyokimbaumbau.
ahahaa pole
Hadi unafikia 90kg's ulikuwa wapi?
Hizi shida nyingine mnajitakia tu aisee
acha tu mkuu najuta
Miss Natafuta kumbe wewe ni heavy weight creature. OK natamani sana nikuone
chura kaka chura
kede ke

kedekede 96kgs lakini uzito unaendana na height naskia!
ni kweli mkuu urefu wako upoje?
 
itagarimu hela ngapi mkuu ili nione kama nitaweza niombe uni add
tatizo whatsup group kusumbuana inbox tena
 
Good luck wapendwa...tutawapa ushauri ..
 
Kira siku Nakimbia Fukwe za Bahalin Kuanzia Saa 12 Asubui Beacha Chadibwa mpaka kijiji Beach Kigambon kwenda na kurud

Asubui Na Jion

Wek End Asubui tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…