unamshangaa mwenye 93mie nina 110 nipo tu93 kwa mwanamke basi unamkaribia Asha Boko.
Nataman nikuone ulivyo. Mh sio kwa kuchagua huko Yaelekea Uko fit sanaUnene unatofautiana... kuna unene unavutia sana chura anaitaaaa na unajua sisi wanaume wagonjwa wa chura aliekaa mkao wa kuruka ruka.. ila ukiwa mneneee kama kifuto au sanamu la michelin, sitaki hata kukuona, nakukwepa tu, ndio ukweli huo
Hakuna atakaekuja inbox Kwa ubonge wako huo wa kg cjui 90 ,labda shimo kuwa tamutatizo whatsup group kusumbuana inbox tena
[emoji23] bae usijali 90 sijafika...Bae we Kg ngapi vile. Siku nyingi hatujapima. Hebu jikadirie nijue kama tuanze mazoezi ama la.
Asee[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna atakaekuja inbox Kwa ubonge wako huo wa kg cjui 90 ,labda shimo kuwa tamu
Nop me nina 96kgs sio 90 mkuu na home nimeambiwa ntafukuzwa bedroom!tukutane hapa tupeane maarifa ya kupunguza uzito ,kila siku tutaapdate kwa kila mmoja kuweka uzito wake ,pia tutapeana mlo wa siku .no cheating pls .kama unajijua wewwe ni muaminifu njoo nikuaadd tupeane maarifa
kupunguza uzito group
6 november 2016
members
1.miss natafuta 93kgs
2.Dimpo 96kgs
3.kedekede 90kgs
4.
6.incubu 51kgs
updates
tips za kupunguza uzito
no moja.
Epuka sukari,na vyakula vya wanga especially usiku.ni marufuku kula chips,wali ,ugali makande ,tambi ,chapati usiku
no mbili kutoka kwa mdau@Castr
Kuna mdau nimeona kasema mtu ujinyime kula (siyo upunguze kula) hili wazo wakati litakuhakikishia kupungua lakini hapo hapo litakua linakumalizia virutubisho mwilini (na kuna uwezekano mtu akapata bulimia).
Badala yake kula vyakula vyenye virutubisho tu kwa kiasi na epuka junk food, mfano Sammo Hung ili kupunguza mwili ili ashiriki filamu ya Eastern Condors kwa miezi mitatu alikua akila wali mkavu na kuku wa kukaanga tu.
Na pia usikimbilie kukata tumbo, anza na jogging/ trotting na mazoezi ya kustrecth kwanza. Baada ya muda ndiyo uanze kutrain kivingine.
tatu.kunywa kikombe cha green tea bila sukari
asubuhi
mchana na usiku
pia kunywa maji mengi at least lita mbili kwa siku
update!
kesho asubui
ukiamka kabla ya kuswaki maji nusu lita ya vuguvugu na vitunguu swaumu punje 11 tafuta
breakfast yetu itakuwa
mayai mawili
apple moja au nyaya moja
kikombe cha green tea kikubwa
Sikuachi hata ufike 100kg. Ndo maana nimekuuliza mapema ili tuanze tizi mapema kabla haijakaribia huko.[emoji23] bae usijali 90 sijafika...
Kwani nikifika huko utaniacha?
87kgsni uzito mkubwa sana paka napata shida
Nikikumbuka wezi wa kigamboni nilikua nakimbia viwanja vya mpira tu. Wale wana wanakuona kabisa umevaa nguo za mazoezi na unakimbia lakini wanakukaba sijui wanawaza utakua na nini.Kira siku Nakimbia Fukwe za Bahalin Kuanzia Saa 12 Asubui Beacha Chadibwa mpaka kijiji Beach Kigambon kwenda na kurud
Asubui Na Jion
Wek End Asubui tu
Kuna kitu wanakiita Body Mass Index, unatumia kukokotoa urefu wako na uzito wako kulingana na jibu utakalopata, linaweza kuangukia kwenye normal, obese n.k.Mkuu naomba Kwa wajuzi na wataalam wanaoelewa mambo haya watujuze ukiwa na urefu wa futi kadhaa basi kg zako ziwe ---,nadhan ingesaidia kujua mtu akiwa na urefu flani basi awe na kg ngap
ahaaaa yaani umenichekesha ujuehahaaaaa mie ndio kibonge zaidi ya wote.
nina above 100 🙂,
nilikuwa kny low carb diet-huli ugali,wali,mkate,tambi etc,wewe ni nyama,mboga mboga na matunda.nilipungua kilo sita ndani ya mwezi ila ilikua nikiona nyama nakinai kabisaa lol,nimerudia misosi yangu;we only live once lol,katika starehe hapa duniani kula mojawapo,kupata haja kubwa na sex hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
mbona wamejaa?Hakuna atakaekuja inbox Kwa ubonge wako huo wa kg cjui 90 ,labda shimo kuwa tamu
Kweli kabisaaaWengi wamenenepa baada ya kuolewa.
CABBAGE SOUPtukutane hapa tupeane maarifa ya kupunguza uzito ,kila siku tutaapdate kwa kila mmoja kuweka uzito wake ,pia tutapeana mlo wa siku .no cheating pls .kama unajijua wewwe ni muaminifu njoo nikuaadd tupeane maarifa
kupunguza uzito group
6 november 2016
members
1.miss natafuta 93kgs
2.Dimpo 96kgs
3.kedekede 90kgs
4.rebecca83 100kgs
6.incubu 51kgs
updates
tips za kupunguza uzito
no moja.
Epuka sukari,na vyakula vya wanga especially usiku.ni marufuku kula chips,wali ,ugali makande ,tambi ,chapati usiku
no mbili kutoka kwa mdau@Castr
Kuna mdau nimeona kasema mtu ujinyime kula (siyo upunguze kula) hili wazo wakati litakuhakikishia kupungua lakini hapo hapo litakua linakumalizia virutubisho mwilini (na kuna uwezekano mtu akapata bulimia).
Badala yake kula vyakula vyenye virutubisho tu kwa kiasi na epuka junk food, mfano Sammo Hung ili kupunguza mwili ili ashiriki filamu ya Eastern Condors kwa miezi mitatu alikua akila wali mkavu na kuku wa kukaanga tu.
Na pia usikimbilie kukata tumbo, anza na jogging/ trotting na mazoezi ya kustrecth kwanza. Baada ya muda ndiyo uanze kutrain kivingine.
tatu.kunywa kikombe cha green tea bila sukari
asubuhi
mchana na usiku
pia kunywa maji mengi at least lita mbili kwa siku
update!
kesho asubui
ukiamka kabla ya kuswaki maji nusu lita ya vuguvugu na vitunguu swaumu punje 11 tafuta
breakfast yetu itakuwa
mayai mawili
apple moja au nyaya moja
kikombe cha green tea kikubwa
tukutane hapa tupeane maarifa ya kupunguza uzito ,kila siku tutaapdate kwa kila mmoja kuweka uzito wake ,pia tutapeana mlo wa siku .no cheating pls .kama unajijua wewwe ni muaminifu njoo nikuaadd tupeane maarifa