Kwa wale wenye uzito wa kilo 90 kwenda juu tukutane hapa

Si kweli. Kuna wengine tunapenda miili kama hiyo mi huwa nataka my gal at least aanzie kh 80- 100. So wembamba sana huwa hawanishtui kabisa.

Duuh, kwa uzito huo kama hujaolewa, sahau kuolewa aisee..
 
Msaada kwenye tuta, hiki nini ulichoweka hapa na maelezo yake? Nimeitambua picha ya pilipili kichaa tu.
 
Msaada kwenye tuta, hiki nini ulichoweka hapa na maelezo yake? Nimeitambua picha ya pilipili kichaa tu.

Jinsi ya kutengeneza supu ya kabichi / cabbage na namna ya kutengeneza maji fyonzwa ... (Sijajua kama ni kiswahili sahihi)... kwa kutumia tango na limao... Vyote ni kwa ajili ya kuchoma mafuta mwilini na kupunguza uzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…