Kwa wale wote ambao wake zao ni wafanya kazi / waajiriwa asee poleni sana!

Wazee wangu wa kataa ndoa sijui wako wapi! Wao wana enjoy tu no stress kama hizi
 
Kajipime...unamatatizo ya sonona..

Hapo ofisini umekataliwa na hao wanawake unaowachunguza daily...ukute wewe ni mfanya usafi, umejichokea...unatumwa na wanaume wenzako nani akutake ..... wacha makasiroko

Kakojoe ulale...pumzisha fuvu hilo kesho kahudumie wanaume.
Wewe ni pisi mbovu tulia! Hujui ulisemalo na siwez kuprove kwako mimi ni nani! Alafu kazini sinaga shobo na wanawake wala sina mpango nao.
 
Wazazi wametoa pesa nyingi na muda mwingi kusomesha binti yao ili apate nafasi ya kutimiza ndoto zake.
harafu anatokea mlevi mmoja wa visungura anataka binti akae nyumbani amenye nyanya wakati binti ana degree ya MD!!

Huu ni upumbavu wa kiwango cha juu sana!! Wengi wenye mawazo kama haya uwa hawana nguvu za kiume!!
 
Habari wakuu?

Asee leo ndo nimehitimisha tafiti yangu kwa asilimia 100% kuwa wake za watu wanaliwa sana maofisini asee kama mke wako ni...
Kila ndoa ina maadili yake ukisema mwanamke akae nyumbani mfano ukapunguzwa kazi nani ataleta au atasaidia familia kama si yeye bro ukitaka usioe kisa jambo kama hilo utapata shida sana
Na sio wanawake wote wako hivo.

Some respect themselves
 
Wewe ni pisi mbovu tulia! Hujui ulisemalo na siwez kuprove kwako mimi ni nani! Alafu kazini sinaga shobo na wanawake wala sina mpango nao.
Mfyuuuu....usingekuwa na shobo usingekuja na nyuzi za kike hapa

Kama hao wanawake wamekukataa tafta hata muuza matunda wa hapo ofisin umgonge
Inapunguza machungu
 
Wazazi wametoa pesa nyingi na muda mwingi kusomesha binti yao ili apate nafasi ya kutimiza ndoto zake.
harafu anatokea mlevi mmoja wa visungura anataka binti akae nyumbani amenye nyanya wakati binti ana degree ya MD!!

Huu ni upumbavu wa kiwango cha juu sana!! Wengi wenye mawazo kama haya uwa hawana nguvu za kiume!!
Tafuta pesa kama ni MD mfungulie dispensary akae hapo afanye kazi! Pia acha kupenda mtelezo nature ya mwanamke ni kutunzwa na si ahangaike kutafuta pesa kisa mpuuzi mmoja kama ww unaona raha kupanga bajeti kwenye mshahara wa mwanamke! Acha ufala wewe
 
Kila ndoa ina maadili yake ukisema mwanamke akae nyumbani mfano ukapunguzwa kazi nani ataleta au atasaidia familia kama si yeye bro ukitaka usioe kisa jambo kama hilo utapata shida sana
Na sio wanawake wote wako hivo.

Some respect themselves
Hapo ni ww mwanaume na akili yako kujiimarisha kiuchumi kwa kufungua vitega uchumi mbali mbali kwa ajili ya familia yako na sio kutegemea kazi! Ukiwa na vitega uchumi vya kutosha hata kesho ukidondoka familia yako haiwezi pata shida yoyote. Lakin sio ukae ukitegemea kazi ya kuajiriwa Hapana
 
Habari wakuu?

Asee leo ndo nimehitimisha tafiti yangu kwa asilimia 100% kuwa wake za watu wanaliwa sana maofisini asee kama mke wako ni mtumishi mfanyakazi asee tambua brother unagongewa kwa asilimia 100 huu ndio ukweli mchungu ambao ni ngumu kuupokea asee hawa wanawake ni hatari hata awe mpole vipi , au mlokole vipi au anavaa ushungi vipi kama ni anatoka asubuhi na kurudi jion asee mkeo analiwa na mhuni mmoja huko job inaweza kuwa analiwa kimya kimya au baadh staff wanajua! Tuwe wakweli tu hawa viumbe sio wa kufanya kazi asee hawa ni kutulia nyumbani na kulea familia mwanamke hatakiwi kutafuta pesa mwanamke anatakiwa kutunzwa vyema na kutulia nyumbani kulea watoto.

Umarioo na kupenda slope baadh ya wanaume wakupenda kuona mke nae analeta mshahara nyumbani ndio hata wakigongewa wake zao huko makazini wao wanaona sawa tu! huu ni upumbavu mkubwa sana nini maana ya kuwa mwanaume sasa yan una mrisk mke wako kisa pesa anayo leta nyumbani kwann ww hiyo pesa usiitafute then unaileta nyumbani. Huku ni kupenda kitonga unafuu wa maisha kupitia mke wako ndo akienda huko kazin lazima aliwe hawezi chomoa wanawake makini ni wapo very humble, yani wao kila kitu yes tena ukute ndo ww ni boss wake asee kila kitu ukimwambia hawezi kubisha.

Ww kama mwanaume unae soma huu ujumbe acha kupenda slope mterezo wa maisha et mwanamke nae afanye kazi ili alete chochote nyumbani acha huu ujinga ww ndio ufanye kazi kwa bidii then peleka mkate nyumbani acha mwanamke akae home alee familia wapo wajinga wale wakusema et mwanamke akiamua kugongwa hata akiwa mama wa nyumbani atagongwa tu sikia niwaambie kwenye maisha unatakiwa u calculate risks kwenye maeneo tofaut tofaut haya mfano tukija kwenye ndoa ivi kati ya mke kuwa mama wa nyumbani na mke kuwa mfanyakazi kutwa safar za kikazi sometimes wanasafir wawili tu yeye na boss wake!

Hapa wapi ni risk kubwa zaid mwanamke kuliwa? Nyie wengine mnajidanganya et mwanake wangu muaminifu sana anamjua mungu acha kujidanganya brother kuna kifala kimoja kipo ofisini kwa mkeo kina mkojoza kwa siri tena mkeo anakipenda balaa! Mkeo akitulia home kuna ubaya gani tena siku hizi technology imekuwa kuna camera unafunga homa ambazo hata ukiwa nje ya mji unaview tu mazingira yako ya home kama mkeo akivusha utajua au kama akitoka bila ruhusa yako utaona kwaiyo possibility ya mkeo kuliwa inakuwa ndogo. Ila huyo muajiriwa anatoka asubuhi saa 12 na kurudi saa moja jion hoi dah asee

Kwa nilicho kishuhudia leo job mwanamke ambae mke wa mtu tena mwenye heshima zako nilikuwa namuheshim sana sana asee tena nilikuwa namtetea sana kuwa hana skendo za kipumbavu kwamba ni mwanamke anae jiheshim sana! kaliwa kwenye gari mimi nilikuwa juu ghorofani wenyewe wapo chini kwenye parking walijua ofisi watu wote tumeshasepa asee hawa wanawake sio tuwapende tu ila tuishi nao kwa akili sana sana brother wanawake wenye msimamo kwenye 100 yupo 1 tu.

Mswat II
Na wao waligundua kama wewe bado upo Juu Ghorofani?
 
Hahaha
 
NImesoma aya ya kwanza nikahis kichefuchefu, ulivyoandika ni km wanawake wooote ndo wanato..a huko maofisin

Kazi tunafanya na hatujawah kufanywa nje ya ndoa zetu

Ifike mahali mkuwe , acheni ujinga kila siku wanawake nyef nyef
@ma_da_me_lily
 
Back
Top Bottom