- Thread starter
- #61
Wewe endelea kuchekelea mshahara wa mke wako endelea kuchekelea perdiem anazopewa pindi anapo kwenda safar za kikazi! Unagongewa huko kazin kwake embu tujifunze kwa mababu zetu zamani ilikuwaje au tujifunze kwa waarabu ! Acha kupenda mtelezoHivi unafahamu kwamba rais wa hii nchi ni mwanamke na wewe ndiye umemwajili?
Ikiwa umetafiti kuhusu wanawake wote walioajiliwa huliwa huoni kwamba umemdharirisha hata rais wako uliyempa ajira?
Uwe unafanya utafiti wenye tija na sio kukurupuka tu na vinyuzi vya kina Pangu pakavu tía mchuzi [emoji23]