Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah umenicopy tofauti boss mimi hata wazo la kuoa bado halijapata kibali akilini mwangu. Ila ikitokea nitaoa kwa sababu nizijuazo mimi kwahiyo mambo ya kuliwa hayatakuwa kipengele sana.Pole sana mkuu! Hukuweka mambo fulan fulan vizuri home ndo maana mkeo akaliwa na muuza maziwa mpe pesa mkeo, mtunze vizuri, mkojoze vizuri mpe furaha akiwa na shida msaidie kuwa nae uone kama huyu mwanamke ataliwa hapo nyumbani
Nyingine ni kwamba acha kupenda kulelewa acha umarioo mwanamke sio wa kutafuta pesaHii taatifa tunayo, leta nyingine
NonsenseKitu ambacho wanaume wenzangu hamtaki kukiona ni hiki: hao wanawake wanajifanya wenyewe? Bila shaka jibu ni hapana. Wanachukuliwa na wanawaume. Sasa mwanaume unalalamika nini wakati wewe ndiye chanzo cha tatizo?
Nimekwambia saiv technology imekuwa sana unaweza funga camera kwenye nyumbani yako angle zote na unaview tu kwenye simu yako popote pale utakapo kuwa hata ukisafir nje ya mko hii itaweza kukusaidia kujua wife wako yupo wapi na anafanya nini! Pia unaweza funga GPS kwenye gari ya mke wako popote pale akienda unaona!
Nyie acheni kujirahisisha kwa vijana huko maofisin kwenu acheni kujifanya watakatifu kumbe hamna kitu ndo wale wale tu!Wanawake this...wanawake that....hizi mada too much...acheni kutongoza wake za watuuu...kwani wanagongwaa na kuku hao wanawake?...
Yote hayo ni kujisumbua,binadamu halindwi hata siku moja,hizo camera tunafunga kwa ajili ya usalama wa nyumba pia inasaidia kumonitor wafanyakazi wa nyumbani pindi tunapowaachia watoto mifugo n.k.Lakini kusema unafunga camera kwa ajili ya mkeo! au GPS hiyo yote ni kujifariji.Nimekwambia saiv technology imekuwa sana unaweza funga camera kwenye nyumbani yako angle zote na unaview tu kwenye simu yako popote pale utakapo kuwa hata ukisafir nje ya mko hii itaweza kukusaidia kujua wife wako yupo wapi na anafanya nini! Pia unaweza funga GPS kwenye gari ya mke wako popote pale akienda unaona!
Acha kupenda mtelezo unafuu wa maisha kwamba mke nae alete mshahara home upange matumizi huoni aibu mzee? Unaona raha unamwambia mke eti kakope basi bank tununue gari au tujenge nyumba! Acha ujinga hayo yote unatakiwa upambane wewe mwanaume na kuyafanikisha yote huku mke analea familia vyema!Inawezekana uko under 30,wanaume mature ni above 30 na hawana muda wa kujadiri tabia za wanawake..hujadiri kuhusu mipango ya maisha ,uwekezaji,kusomesha n.k...suala la mwanamke kuchepuka halima mfanyakazi wala mama wa nyumbani,..hiyo ni tabia ya mtu,kama ilivyo sisi wanaume kuna ambao waaminifu kwa mke mmoja, na wenye michepuko mpk 10.
NImesoma aya ya kwanza nikahis kichefuchefu, ulivyoandika ni km wanawake wooote ndo wanato..a huko maofisin
Kazi tunafanya na hatujawah kufanywa nje ya ndoa zetu
Ifike mahali mkuwe , acheni ujinga kila siku wanawake nyef nyef
In realms of whimsy, nonsense gleams,Nonsense
Kuna ukweli.Acha waliwe tu mkuu lakini mimi kuoa jobless ni kipengele kigumu kuliko hicho cha kuliwa. Inauma zaidi kumtunza ndani unahudumia kila kitu kuanzia kwao, kwenu na kwako then analiwa na muuza maziwa.
Wewe unaakili sana angalia wenzio hapo juu wanacho sema ndo hao wapenda slope tunao zungumzia wanataka mke nae alete pesa nyumbani! Ndo maana hata wakigongewa wao ni sawa tu very shame
Kwani shingapi? Si inafunguka na kufunga baada ya hapo kwani kuna kipi cha ajabu?kaliwa kwenye gari
Wewe hujawahi kushikishwa ukuta?Something is not right somewhere...hizi mada zimezuka sana. Definitely....maybe a movement, maybe malipo ya uhamasihaji wa jambo flani, maybe, maybe, maybe...
Mwenye ufahamu na apate KUFAHAMU...kama wana wa Isakari...
Na wanaopanda daladala😂😂Habari wakuu?
Asee leo ndo nimehitimisha tafiti yangu kwa asilimia 100% kuwa wake za watu wanaliwa sana maofisini asee kama mke wako ni mtumishi mfanyakazi asee tambua brother unagongewa kwa asilimia 100 huu ndio ukweli mchungu ambao ni ngumu kuupokea asee hawa wanawake ni hatari hata awe mpole vipi , au mlokole vipi au anavaa ushungi vipi kama ni anatoka asubuhi na kurudi jion asee mkeo analiwa na mhuni mmoja huko job inaweza kuwa analiwa kimya kimya au baadh staff wanajua! Tuwe wakweli tu hawa viumbe sio wa kufanya kazi asee hawa ni kutulia nyumbani na kulea familia mwanamke hatakiwi kutafuta pesa mwanamke anatakiwa kutunzwa vyema na kutulia nyumbani kulea watoto. Umarioo na kupenda slope baadh ya wanaume wakupenda kuona mke nae analeta mshahara nyumbani ndio hata wakigongewa wake zao huko makazini wao wanaona sawa tu! huu ni upumbavu mkubwa sana nini maana ya kuwa mwanaume sasa yan una mrisk mke wako kisa pesa anayo leta nyumbani kwann ww hiyo pesa usiitafute then unaileta nyumbani. Huku ni kupenda kitonga unafuu wa maisha kupitia mke wako ndo akienda huko kazin lazima aliwe hawezi chomoa wanawake makini ni wapo very humble, yani wao kila kitu yes tena ukute ndo ww ni boss wake asee kila kitu ukimwambia hawezi kubisha.
Ww kama mwanaume unae soma huu ujumbe acha kupenda slope mterezo wa maisha et mwanamke nae afanye kazi ili alete chochote nyumbani acha huu ujinga ww ndio ufanye kazi kwa bidii then peleka mkate nyumbani acha mwanamke akae home alee familia wapo wajinga wale wakusema et mwanamke akiamua kugongwa hata akiwa mama wa nyumbani atagongwa tu sikia niwaambie kwenye maisha unatakiwa u calculate risks kwenye maeneo tofaut tofaut haya mfano tukija kwenye ndoa ivi kati ya mke kuwa mama wa nyumbani na mke kuwa mfanyakazi kutwa safar za kikazi sometimes wanasafir wawili tu yeye na boss wake! Hapa wapi ni risk kubwa zaid mwanamke kuliwa? Nyie wengine mnajidanganya et mwanake wangu muaminifu sana anamjua mungu acha kujidanganya brother kuna kifala kimoja kipo ofisini kwa mkeo kina mkojoza kwa siri tena mkeo anakipenda balaa! Mkeo akitulia home kuna ubaya gani tena siku hizi technology imekuwa kuna camera unafunga homa ambazo hata ukiwa nje ya mji unaview tu mazingira yako ya home kama mkeo akivusha utajua au kama akitoka bila ruhusa yako utaona kwaiyo possibility ya mkeo kuliwa inakuwa ndogo. Ila huyo muajiriwa anatoka asubuhi saa 12 na kurudi saa moja jion hoi dah asee
Kwa nilicho kishuhudia leo job mwanamke ambae mke wa mtu tena mwenye heshima zako nilikuwa namuheshim sana sana asee tena nilikuwa namtetea sana kuwa hana skendo za kipumbavu kwamba ni mwanamke anae jiheshim sana! kaliwa kwenye gari mimi nilikuwa juu ghorofani wenyewe wapo chini kwenye parking walijua ofisi watu wote tumeshasepa asee hawa wanawake sio tuwapende tu ila tuishi nao kwa akili sana sana brother wanawake wenye msimamo kwenye 100 yupo 1 tu.
Mswat II
Na tumeridhika nayo kuona huko maofisini wake zetu wanatombwa,Hii taatifa tunayo, leta nyingine