Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimwacha nyumbani kuna wale bodaboda wenye VIDUKU wanakunywa VISUNGURA hao ndo wanamrukia sasa,Bora wafanyakazi wenzie wana vitambi hawana maajabu sana ,Habari wakuu?
Asee leo ndo nimehitimisha tafiti yangu kwa asilimia 100% kuwa wake za watu wanaliwa sana maofisini asee kama mke wako ni mtumishi mfanyakazi asee tambua brother unagongewa kwa asilimia 100 huu ndio ukweli mchungu ambao ni ngumu kuupokea asee hawa wanawake ni hatari hata awe mpole vipi , au mlokole vipi au anavaa ushungi vipi kama ni anatoka asubuhi na kurudi jion asee mkeo analiwa na mhuni mmoja huko job inaweza kuwa analiwa kimya kimya au baadh staff wanajua! Tuwe wakweli tu hawa viumbe sio wa kufanya kazi asee hawa ni kutulia nyumbani na kulea familia mwanamke hatakiwi kutafuta pesa mwanamke anatakiwa kutunzwa vyema na kutulia nyumbani kulea watoto. Umarioo na kupenda slope baadh ya wanaume wakupenda kuona mke nae analeta mshahara nyumbani ndio hata wakigongewa wake zao huko makazini wao wanaona sawa tu! huu ni upumbavu mkubwa sana nini maana ya kuwa mwanaume sasa yan una mrisk mke wako kisa pesa anayo leta nyumbani kwann ww hiyo pesa usiitafute then unaileta nyumbani. Huku ni kupenda kitonga unafuu wa maisha kupitia mke wako ndo akienda huko kazin lazima aliwe hawezi chomoa wanawake makini ni wapo very humble, yani wao kila kitu yes tena ukute ndo ww ni boss wake asee kila kitu ukimwambia hawezi kubisha.
Ww kama mwanaume unae soma huu ujumbe acha kupenda slope mterezo wa maisha et mwanamke nae afanye kazi ili alete chochote nyumbani acha huu ujinga ww ndio ufanye kazi kwa bidii then peleka mkate nyumbani acha mwanamke akae home alee familia wapo wajinga wale wakusema et mwanamke akiamua kugongwa hata akiwa mama wa nyumbani atagongwa tu sikia niwaambie kwenye maisha unatakiwa u calculate risks kwenye maeneo tofaut tofaut haya mfano tukija kwenye ndoa ivi kati ya mke kuwa mama wa nyumbani na mke kuwa mfanyakazi kutwa safar za kikazi sometimes wanasafir wawili tu yeye na boss wake! Hapa wapi ni risk kubwa zaid mwanamke kuliwa? Nyie wengine mnajidanganya et mwanake wangu muaminifu sana anamjua mungu acha kujidanganya brother kuna kifala kimoja kipo ofisini kwa mkeo kina mkojoza kwa siri tena mkeo anakipenda balaa! Mkeo akitulia home kuna ubaya gani tena siku hizi technology imekuwa kuna camera unafunga homa ambazo hata ukiwa nje ya mji unaview tu mazingira yako ya home kama mkeo akivusha utajua au kama akitoka bila ruhusa yako utaona kwaiyo possibility ya mkeo kuliwa inakuwa ndogo. Ila huyo muajiriwa anatoka asubuhi saa 12 na kurudi saa moja jion hoi dah asee
Kwa nilicho kishuhudia leo job mwanamke ambae mke wa mtu tena mwenye heshima zako nilikuwa namuheshim sana sana asee tena nilikuwa namtetea sana kuwa hana skendo za kipumbavu kwamba ni mwanamke anae jiheshim sana! kaliwa kwenye gari mimi nilikuwa juu ghorofani wenyewe wapo chini kwenye parking walijua ofisi watu wote tumeshasepa asee hawa wanawake sio tuwapende tu ila tuishi nao kwa akili sana sana brother wanawake wenye msimamo kwenye 100 yupo 1 tu.
Mswat II
Video tena 🤠🤠🤠!
Mke wa mtu anavyoliwa ndani ya gari...Video tena 🤠🤠🤠!
Umetishaaa
Hata ukimweka nyumbani wadau wanamfuata huko huko kumpiga miti na watamgonga vizuri tuNakubaliana nawewe kwa asilimia zaidi ya 100000/%
Ndani ya gari tena smart huendi mbinguni ujuee 🤣🤣🤣🤣🤣🤭!Mke wa mtu anavyoliwa ndani ya gari...
Atuwekee picha na video wengine hatukuonaMke wa mtu anavyoliwa ndani ya gari...
Wewe ulitaka wapi?Ndani ya gari tena smart huendi mbinguni ujuee 🤣🤣🤣🤣🤣🤭!
Yeye si kashuhudia mke wa mtu akiliwa ndani ya gari, ndiyo atuweke video na picha...Ndani ya gari tena smart huendi mbinguni ujuee 🤣🤣🤣🤣🤣🤭!
Hivi unafahamu kwamba rais wa hii nchi ni mwanamke na wewe ndiye umemwajili?Asee leo ndo nimehitimisha tafiti yangu kwa asilimia 100% kuwa wake za watu wanaliwa sana maofisini asee kama mke wako ni mtumishi mfanyakazi asee tambua brother unagongewa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Yeye si kashuhudia mke wa mtu akiliwa ndani ya gari, ndiyo atuweke video na picha...
Pole sanaWewe bado hujaoa, endelea kukua. Ingekuwa umeoa usingepata muda wa kuandika haya
Kugongewa kupo tu, unaweza gongewa na boda boda, muuza maji au house boy! Hakuna formula.
Wewe subir siku yako utakayo kamatwa! Na kama job huna kajamaa basi ujue ww ni pisi mbovu hapo kazin kwenu hakuna mwenye time na wwNImesoma aya ya kwanza nikahis kichefuchefu, ulivyoandika ni km wanawake wooote ndo wanato..a huko maofisin
Kazi tunafanya na hatujawah kufanywa nje ya ndoa zetu
Ifike mahali mkuwe , acheni ujinga kila siku wanawake nyef nyef
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Lol wamapendeza sana afu wanaendana🤠🤠Hawa binadamu ndiyo walidinyanya ndani ya gari... Jack and Rose...
View attachment 2912639
Mpaka wakawa wanapumua joto...Lol wamapendeza sana afu wanaendana🤠🤠
Ww unakaribia kuleft group jichunguze mzeeNa tumeridhika nayo kuona huko maofisini wake zetu wanatombwa,
🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤠! Hao Wako vizuri nawakubali kinoumaaa 🤭Mpaka wakawa wanapumua joto...
Huyo sasa utakuwa umeoa kahabaUkimwacha nyumbani kuna wale bodaboda wenye VIDUKU wanakunywa VISUNGURA hao ndo wanamrukia sasa,Bora wafanyakazi wenzie wana vitambi hawana maajabu sana ,
(Practical joke)
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app