Kwa wale wote ambao wake zao ni wafanya kazi / waajiriwa asee poleni sana!

Wazee wangu wa kataa ndoa sijui wako wapi! Wao wana enjoy tu no stress kama hizi
 
Wewe ni pisi mbovu tulia! Hujui ulisemalo na siwez kuprove kwako mimi ni nani! Alafu kazini sinaga shobo na wanawake wala sina mpango nao.
 
Wazazi wametoa pesa nyingi na muda mwingi kusomesha binti yao ili apate nafasi ya kutimiza ndoto zake.
harafu anatokea mlevi mmoja wa visungura anataka binti akae nyumbani amenye nyanya wakati binti ana degree ya MD!!

Huu ni upumbavu wa kiwango cha juu sana!! Wengi wenye mawazo kama haya uwa hawana nguvu za kiume!!
 
Habari wakuu?

Asee leo ndo nimehitimisha tafiti yangu kwa asilimia 100% kuwa wake za watu wanaliwa sana maofisini asee kama mke wako ni...
Kila ndoa ina maadili yake ukisema mwanamke akae nyumbani mfano ukapunguzwa kazi nani ataleta au atasaidia familia kama si yeye bro ukitaka usioe kisa jambo kama hilo utapata shida sana
Na sio wanawake wote wako hivo.

Some respect themselves
 
Wewe ni pisi mbovu tulia! Hujui ulisemalo na siwez kuprove kwako mimi ni nani! Alafu kazini sinaga shobo na wanawake wala sina mpango nao.
Mfyuuuu....usingekuwa na shobo usingekuja na nyuzi za kike hapa

Kama hao wanawake wamekukataa tafta hata muuza matunda wa hapo ofisin umgonge
Inapunguza machungu
 
Tafuta pesa kama ni MD mfungulie dispensary akae hapo afanye kazi! Pia acha kupenda mtelezo nature ya mwanamke ni kutunzwa na si ahangaike kutafuta pesa kisa mpuuzi mmoja kama ww unaona raha kupanga bajeti kwenye mshahara wa mwanamke! Acha ufala wewe
 
Kila ndoa ina maadili yake ukisema mwanamke akae nyumbani mfano ukapunguzwa kazi nani ataleta au atasaidia familia kama si yeye bro ukitaka usioe kisa jambo kama hilo utapata shida sana
Na sio wanawake wote wako hivo.

Some respect themselves
Hapo ni ww mwanaume na akili yako kujiimarisha kiuchumi kwa kufungua vitega uchumi mbali mbali kwa ajili ya familia yako na sio kutegemea kazi! Ukiwa na vitega uchumi vya kutosha hata kesho ukidondoka familia yako haiwezi pata shida yoyote. Lakin sio ukae ukitegemea kazi ya kuajiriwa Hapana
 
Na wao waligundua kama wewe bado upo Juu Ghorofani?
 
Hahaha
 
NImesoma aya ya kwanza nikahis kichefuchefu, ulivyoandika ni km wanawake wooote ndo wanato..a huko maofisin

Kazi tunafanya na hatujawah kufanywa nje ya ndoa zetu

Ifike mahali mkuwe , acheni ujinga kila siku wanawake nyef nyef
@ma_da_me_lily
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…