kwa wale wote waliochaguliwa Ruvu jkt hapa ndo petu.....full kuwa wakakamavu!

cantonna

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
1,120
Reaction score
439
kiukweli hawa jamaa wa jkt wameniboa balaa coz mi tayar nipo chuo mtwara ndan ya stella maris afu leo wao wanasema eti jkt....sijajua saaana kuwa itakuwaje ila mbele kwa mbele itakavyokuwa wacha na iwe jkt oyeeee!!
 
Umevurugwa kaka
 
vibaya sana mtoto wa kiume kutokuwa na msimamo! yani foolish
 
cantona....
fanya kutoa hiyo
"JKT oyee"
watakuelewa vizuri...
lasivo unaonekana mbabaishaji
unang'ata afu unapuliza
 
Last edited by a moderator:
Watoto wa mama wengi ni lazima wapinge hii program kwa kuwa wamelelewa kimayai mayai lakini siku zenu zinahesabika,tazameni yaliyotokea kwenye Mall huko Kenya,yumkini kama wengi wangekuwa na tackticks za kimilitia maafa yasingefika kiwango tajwa! Nadhani JKT siku hizi hadi bugger wana offer sio kipindi chetu cha yanga yanga na uji wa maembe!
 
watu hawajapinga kwenda huko but tatizo ni huo muingiliano kati ya jkt na chuo ndio watu hawautaki!
 
daa!!kawaida xana axa hata ukipinga jkt lazima utie maguu....mwenyewe sipendi coz npo tayar chuo afu nshaalipa 40% ya ada xo ngoja 2one mwisho wa game itakuwaje!
 
Watoto wa mama wengi ni lazima wapinge hii program kwa kuwa wamelelewa kimayai mayai lakini siku zenu zinahesabika,tazameni yaliyotokea kwenye Mall huko Kenya,yumkini kama wengi wangekuwa na tackticks za kimilitia maafa yasingefika kiwango tajwa! Nadhani JKT siku hizi hadi bugger wana offer sio kipindi chetu cha yanga yanga na uji wa maembe!

Sasa kama hadi huyo mwanajeshi anayekufundisha anashindwa kuwatoa magaidi kumio mpaka wanateka watu.,na maaskari sita wakauliwa.Huyu krutuu anayefundishwa si hamna kitu,,
 
Back
Top Bottom