Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona siwasikii wale ambao walikuwa wanawasimanga walimu wa arts kwamba hawataajiriwa mwaka huu vipi mbona wamesizi hivyo au ulilishwa matango pori nini kuhusu ajira mpya za waalimu
Walikuaga viherehere sana ndo mana nawataka waje tena apa
Walimu wengi wa Arts hasa wale wa History na Kiingereza ni mbumbumbu.Utashangaa mwalimu wa Kingereza lakini hawezi kujieleza Kwa lugha husika.Tuishukuru serikali ya Magamba Kwa kuajili wote,wanaojua na wasiojua.
Ili iweje labda?
Watoe mrejesho kwa kile walichokiamini na kuwaaminisha watu halafu wewe ni mmoja wao. (lopolopo)
Dahh...Comment zinaweza kukukatisha tamaa usianzishe uzi tenaa