Kwa walimu wa masomo ya arts

Kwa walimu wa masomo ya arts

senzoside

Senior Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
182
Reaction score
31
Mbona siwasikii wale ambao walikuwa wanawasimanga walimu wa arts kwamba hawataajiriwa mwaka huu vipi mbona wamesizi hivyo au ulilishwa matango pori nini kuhusu ajira mpya za waalimu
 
So what?
 
Walimu wengi wa Arts hasa wale wa History na Kiingereza ni mbumbumbu.Utashangaa mwalimu wa Kingereza lakini hawezi kujieleza Kwa lugha husika.Tuishukuru serikali ya Magamba Kwa kuajili wote,wanaojua na wasiojua.
 
Kwa hiyo na wewe ni mbumbuu?
 
Watoe mrejesho kwa kile walichokiamini na kuwaaminisha watu halafu wewe ni mmoja wao. (lopolopo)

Umewahi niona nikikosa mda na kuanza huo ulopolopo? Nipe ushahidi kuthibitisha
 
Walimu wengi wa Arts hasa wale wa History na Kiingereza ni mbumbumbu.Utashangaa mwalimu wa Kingereza lakini hawezi kujieleza Kwa lugha husika.Tuishukuru serikali ya Magamba Kwa kuajili wote,wanaojua na wasiojua.

hahaha!unajua tatizo cyo hao walimu bali mfumo,kwa mfano mtu anasoma QT(form 1&2)ndani ya mwaka mmoja,form 3&4 ndani ya mwaka mmoja tena na form 5 &6 mwaka mmoja(yaani miaka mitatu kasoma form one mpaka six)afu anaenda chuo,what do you expect from him or her?
 
Dahh...Comment zinaweza kukukatisha tamaa usianzishe uzi tenaa

hata siku moja hawawezi kunikatisha tamaa wao ambaowapo juu ya mawe bila kazi ndo nawakatisha tamaa
 
Back
Top Bottom