Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba mnisaidie kunielewesha hii course ajira yake iko vipi na mambo mengine kiujumla.
No posho? Apo sijakuelew kaka anguHii course jikite sana kwana NGOs. Serikalini wanachukuliwa kama walimu wa kawaida. No posho wala nini.
Umeshauriwa ujikite kwenye NGO zinazohusu kuhudumia walemavu na wenye mahitaji maalum , ukiweza kutoboka nje umeula , kwa hapa tz unaajiriwa na serikali kama mwalimu , maisha ya ualimu unayajua , hakuna posho kule , sa sjui unashangaa nn
Nina Jamaa Alisoma Akaajiriwa Na Serikali Yupo Kijijini Bukuba Anatanga Na Hiyo Special Need YakeHii course jikite sana kwana NGOs. Serikalini wanachukuliwa kama walimu wa kawaida. No posho wala nini.
Ah sawa nmekuelewa asante ndo nataka nikaisome iyo koziHakuna posho kama zamani (Trainings) na wameziba sana mianya ya Charity kutoa misaada. Kwa kifupi hakuna maslahi kama zamani. Mazingira ya ovyo serikalini. Ikiwezekana jikite kwenye NGOs au Ji brand mwenyewe ina soko sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiiiNina Jamaa Alisoma Akaajiriwa Na Serikali Yupo Kijijini Bukuba Anatanga Na Hiyo Special Need Yake
Asante nmekuelewa mara ya kwanza sikuelewa vzrUmeshauriwa ujikite kwenye NGO zinazohusu kuhudumia walemavu na wenye mahitaji maalum , ukiweza kutoboka nje umeula , kwa hapa tz unaajiriwa na serikali kama mwalimu , maisha ya ualimu unayajua , hakuna posho kule , sa sjui unashangaa nn
Ah sawa nmekuelewa asante ndo nataka nikaisome iyo kozi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app