Kwa walimu waliosomea course ya special needs

Kwa walimu waliosomea course ya special needs

No posho? Apo sijakuelew kaka angu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Umeshauriwa ujikite kwenye NGO zinazohusu kuhudumia walemavu na wenye mahitaji maalum , ukiweza kutoboka nje umeula , kwa hapa tz unaajiriwa na serikali kama mwalimu , maisha ya ualimu unayajua , hakuna posho kule , sa sjui unashangaa nn
 
Hii course jikite sana kwana NGOs. Serikalini wanachukuliwa kama walimu wa kawaida. No posho wala nini.
Nina Jamaa Alisoma Akaajiriwa Na Serikali Yupo Kijijini Bukuba Anatanga Na Hiyo Special Need Yake
 
Hakuna posho kama zamani (Trainings) na wameziba sana mianya ya Charity kutoa misaada. Kwa kifupi hakuna maslahi kama zamani. Mazingira ya ovyo serikalini. Ikiwezekana jikite kwenye NGOs au Ji brand mwenyewe ina soko sana.
Ah sawa nmekuelewa asante ndo nataka nikaisome iyo kozi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Umeshauriwa ujikite kwenye NGO zinazohusu kuhudumia walemavu na wenye mahitaji maalum , ukiweza kutoboka nje umeula , kwa hapa tz unaajiriwa na serikali kama mwalimu , maisha ya ualimu unayajua , hakuna posho kule , sa sjui unashangaa nn
Asante nmekuelewa mara ya kwanza sikuelewa vzr

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom