Kwa walimu wapya inawahusu pitia hapa:

Kwa walimu wapya inawahusu pitia hapa:

mcharge

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
248
Reaction score
49
wana jf naomba ufafanuzi ivi mwalimu wa degree vs diploma wanachukuwa kiasi gani cha mshahara mwenye kujuwa anijuze hapa.
 
Najua degree kwa sasa ni Tsh 589,000 kama basic salary,baada ya makato inabaki 47 na impurities. Hapo kama wazee wa Loan board hawajaweka mkasi wao kukata salio. Wakikata nao kama 32000 utajua utabakiwa na ngapi kwenye 470000.
 
Bodi ya mkopo nasikia wanaanza kukata mwezi wa 11.
 
Mwalimu wa diploma huwa anaanza na TGTS/C wakati wa degree huanza na TGTS/D ambapo inategemea wakati anaanza mshahara wa ngazi husika ni kiasi gani,mfano ajira za mwaka jana degree walianza na basic salary ya TZS 535,000 kwa stsshahada sikupata mpendwa!
 
Apo nimewapa wadau ila iyo ya loan wakianza kukata kimeo nasikia ni 30,000 ya kweli ayo
 
Najua degree kwa sasa ni Tsh 589,000 kama basic salary,baada ya makato inabaki 47 na impurities. Hapo kama wazee wa Loan board hawajaweka mkasi wao kukata salio. Wakikata nao kama 32000 utajua utabakiwa na ngapi kwenye 470000.

huo ni mshahara au posho?
 
mliokopa inakula kwenu,mimi nilisma kwa shda kweli ila najua muda wangu ndo huu.
 
huo ni mshahara au posho?

huo ni mshahara wa mwezi. Tena ndani yake kuna vitisho na majungu na mikwara mingi unapigwa na mabosi wako kazini na wilayani pia.
 
Back
Top Bottom