kwa walimu wapya

kwa walimu wapya

ladytk

Senior Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
163
Reaction score
45
UJUMBE WANGU KWAKO UNAVOELEKEA KUANZA MAISHA MAPYA YA UTUMISHI KWENYE JAMII YA WATU:-
1)ucjifanye unajua kuliko walimu ulio wakuta
2)ucjifanye ww ni bora kuliko jamii inayo kuzunguka
3)epuka kukashifu samani au mazingira ya wenyeji hadharani
4)kuwa na mawasiliano na mahusiano mazuri na jamii yote
5)epuka kuonyesha udhaifu wako utazaraulika.
6)epuka kutajataja kiwango chako cha elimu ofisini maana wengine watakwazika
7)mheshimu mkuu wako wa kazi hata kama unamzidi elimu
8)jiepushe kutaka kuleta mabadiriko ya gafla pale utakapoona wenyej wanafanya tofaut.
KAZI NJEMA NA MAFANIKIO MEMA.
 
ukwel mtupu.......
 
Unaogopa vichomi?

7. Waogope sana wanawake waendekezao mapenzi, wengine ni wake za watu na wanafunzi, utaona ajira ngumu.
 
Pati, philip,digna,m.alpha,erasm,simon wa smuco mpo.kazi njema.
 
Back
Top Bottom