UJUMBE WANGU KWAKO UNAVOELEKEA KUANZA MAISHA MAPYA YA UTUMISHI KWENYE JAMII YA WATU:-
1)ucjifanye unajua kuliko walimu ulio wakuta
2)ucjifanye ww ni bora kuliko jamii inayo kuzunguka
3)epuka kukashifu samani au mazingira ya wenyeji hadharani
4)kuwa na mawasiliano na mahusiano mazuri na jamii yote
5)epuka kuonyesha udhaifu wako utazaraulika.
6)epuka kutajataja kiwango chako cha elimu ofisini maana wengine watakwazika
7)mheshimu mkuu wako wa kazi hata kama unamzidi elimu
8)jiepushe kutaka kuleta mabadiriko ya gafla pale utakapoona wenyej wanafanya tofaut.
KAZI NJEMA NA MAFANIKIO MEMA.