Dunia pia inaondoka kwenye HDD inaelekea kwenye SSD. Lakini tunaotumia NAS hundreds of TBs tunatumia HDD. Kwa sababu kwa use case yetu kuweka kika kitu SSD si oractical. Si cist effective.
Miwaya mbona hata Marekani tunatumia. Ulaya wanatumia.
Joe Biden rais wa Marekani kaanzisha mpango wa ku update internet, broadband, wanatumia miwaya (mind you, kusema wanatumia miwaya haumaanishi wanatumia miwaya tu).
South Korea walikuwa na fastest internet last time I checked. Wanatumia miwaya.
Hiyo internet ya wireless unayoitumia kwenye simu nayo mostly imetoka kwenye miwaya iliyopita chini ya bahari.
Ni hivi, hiyo waya inatumika kuleta internet ndani ya nyumba halafu internet ikifika nyumbani unaweka wireless router anayetaka kutumia wireless kwenye simu au laptop anaweza. Ila inakuwa fast na ya gharama nafuu ukilinganisha na internet ya simu.
Mtoa mada amekupa hii kama solution ya kukupa internet kwa gharama nafuu, kama wewe unapenda kupigwa ma bundle ya internet ya simu kuendelea kupigwa hivyo ni haki yako ya kikatiba pia.