fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Sisi wa kibaoni watuzimie kabisa yaani watuache tuta tuma barua kama zamaniNdio maana wameyataja maeneo kabisa ambayo hio huduma inapatikana, Sie wa Tegeta kwa Ndevu hatuhusiki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wa kibaoni watuzimie kabisa yaani watuache tuta tuma barua kama zamaniNdio maana wameyataja maeneo kabisa ambayo hio huduma inapatikana, Sie wa Tegeta kwa Ndevu hatuhusiki!
Wasijihangaishe kabisaSisi wa kibaoni watuzimie kabisa yaani watuache tuta tuma barua kama zamani
View attachment 1741228
Inabidi tu tukutane Kibo Tegeta juma 2 jioni tulijadili hili aisee turudi tu kwenye p.o Box! Au watu wa Tegeta tuta ruhusiwa kwenda kufanyia kikao juliana 😂Wasijihangaishe kabisa
Nipo hapa natamba na Zuku Fiber nishasahau bei za bando, data na speed limits toka mwaka juziKama upo Dar maeneo ya Kariakoo, Mjini posta, Msasani, Peninsular, Upanga, Kinondoni ya Morocco, Mikocheni, Masaki, O'bey, n.k Kuna fiber za kutosha kama zuku, Raha, Gofiber, n.k
Fibre ni internet ya waya, unavutiwa waya hadi sehemu ulipo nyumbani kwako, ni internet ya waya lakini kuna kifaa utapewa kinaitwa wireless router, hiki kifaa kitakuwezesha utumie internet kwa wifi ya simu au laptop ama vifaa vingine vyenye wifi.
Kwa mfano internet ya fibre ya zuku inapatikana kino, kariakoo, msasani, peninsular, upanga,n.k utalipia elf 70 kwa mwezi (kifurushi cha chini) au zaidi (kuna vifurushi vina speed kali sana hivi ni kama watumiaji ni wengi na vina speed kali sana) pia hapo hapo utakuwa umelipia na channel za zuku utazocheki kwa kingamuzi.
Utaweza kutumia internet bila kikomo, speed ni nzuri hata kwa kifurushi cha chini cha elf 70 ambacho unaweza kudownload mb 1 (nasikia sikuhizi ni 2) kwa sekunde, ni speed nzuri hata videos utaangalia bila kukwama na hata kwenye kudownliad utaweza kudownload muvi hata ya GB 1 kwa takribani dakika 18 tu, kitu kizuri zaidi ni hakuna kikomo, hakuna mambo ya ukifikisha gb kadhaa speed inashuka. Makampuni mengi gharama za vifaa na kuletewa waya wa internet hadi kwako ni bure ikiwa utalipia bando la mwezi au miezi kadhaa.
Changamoto ni kwamba haipo kila sehemu Dar na pia inabidi uwe mazingira ya nyumbani au ofisini ili kutumia wifi ya kifaa chao.
Kwa waliopo nje ya maeneo hayo au mikoani TTCL nao wana fibre sema nasikia ni gharama.
Cable bado zipo hata Ulaya. Unaletewa cable ila unaunga kwa routerDunia inaondoka kwenye mifumo ya analog kwenda wireless! Wewe unakuja na idea ya kuunganisha miwaya kama TTCL!
Utapewa kesi ya uhujumu uchumiHii imekaa poa je ukivuta ukawapa wif na majiran mfano mko kwenye nyumba moja kisha mkashea bei
Ni fiber internet, the modern whole internet infrastructure runs on underwater fiber cables usichanganye na ADSL za TTCLDunia inaondoka kwenye mifumo ya analog kwenda wireless! Wewe unakuja na idea ya kuunganisha miwaya kama TTCL!
Internet kwa dunia ya sasa ni kama basic needs.. ila tutaoneshana makali tuUmesema elfu70?!! Umenikumbusha kuna watu walikuwa wanaandamana bei ya mkate kupanda. Mwanamfalme kusikia hivyo akasema kama mkate umepanda si wale keki!
Tutafanya semina zote za kuwapaka choo hawa mafisiem pale Juliana. Wameshatukoroga sana nafsi, kila member ahakikishe ana pepper spray ili wale vijana wa sirro wakileta mbwembwe waseme nazo wakati tunatoka nduki.Inabidi tu tukutane Kibo Tegeta juma 2 jioni tulijadili hili aisee turudi tu kwenye p.o Box! Au watu wa Tegeta tuta ruhusiwa kwenda kufanyia kikao juliana 😂
Mbona haujatoa suluhisho, hicho ulichoelezea ni saws na simu za zamani za mezani, watu wanataka mobile.Kama upo Dar maeneo ya Kariakoo, Mjini posta, Msasani, Peninsular, Upanga, Kinondoni ya Morocco, Mikocheni, Masaki, O'bey, n.k Kuna fiber za kutosha kama zuku, Raha, Gofiber, n.k
Fibre ni internet ya waya, unavutiwa waya hadi sehemu ulipo nyumbani kwako, ni internet ya waya lakini kuna kifaa utapewa kinaitwa wireless router, hiki kifaa kitakuwezesha utumie internet kwa wifi ya simu au laptop ama vifaa vingine vyenye wifi.
Kwa mfano internet ya fibre ya zuku inapatikana kino, kariakoo, msasani, peninsular, upanga,n.k utalipia elf 70 kwa mwezi (kifurushi cha chini) au zaidi (kuna vifurushi vina speed kali sana hivi ni kama watumiaji ni wengi na vina speed kali sana) pia hapo hapo utakuwa umelipia na channel za zuku utazocheki kwa kingamuzi.
Utaweza kutumia internet bila kikomo, speed ni nzuri hata kwa kifurushi cha chini cha elf 70 ambacho unaweza kudownload mb 1 (nasikia sikuhizi ni 2) kwa sekunde, ni speed nzuri hata videos utaangalia bila kukwama na hata kwenye kudownliad utaweza kudownload muvi hata ya GB 1 kwa takribani dakika 18 tu, kitu kizuri zaidi ni hakuna kikomo, hakuna mambo ya ukifikisha gb kadhaa speed inashuka. Makampuni mengi gharama za vifaa na kuletewa waya wa internet hadi kwako ni bure ikiwa utalipia bando la mwezi au miezi kadhaa.
Changamoto ni kwamba haipo kila sehemu Dar na pia inabidi uwe mazingira ya nyumbani au ofisini ili kutumia wifi ya kifaa chao.
Kwa waliopo nje ya maeneo hayo au mikoani TTCL nao wana fibre sema nasikia ni gharama.
kwaio nikitoka nyumbani sipati internet au?1.Kama una familia kitasaidia kuoungiza gharama za kila mtu kujinunulia data
2.unapata channels za kingamuzi cha zuku
3.utatumia bila kikomo, hata ukitumia gb 20 kwa siku ni wewe tu, nenda hata halotel uulizie hio gb 20 kwa siku sh ngap .
Akasahau kuwa chupa Moja ya asali, ile ya konyagi napa, Siyo faru John, ni Elfu 10-15.Kumbe huko Dar 70k ni ndogo. Kweli mpo uchumi wa katikati. Yule waziri aliyesema mbadala wa bei kubwa ya sukari ni kutumia asali, alikuwa sahihi.
Dah nimecheka kweli mkuu au upupu!Tutafanya semina zote za kuwapaka choo hawa mafisiem pale Juliana. Wameshatukoroga sana nafsi, kila member ahakikishe ana pepper spray ili wale vijana wa sirro wakileta mbwembwe waseme nazo wakati tunatoka nduki.
Hahah samahani mkuu, FTTH maana yake ni "fiber to the home", kwa mantiki ya kwamba miundombinu ya fiber inasogwezwa hadi mahali watu wanapoishi kama vile tu unavyoona huduma ya simu za mezani, maji na umeme...Mkuu tumia lugha rahisi wengine sisi darasa la tatu D
Asante.Hahah samahani mkuu, FTTH maana yake ni "fiber to the home", kwa mantiki ya kwamba miundombinu ya fiber inasogwezwa hadi mahali watu wanapoishi kama vile tu unavyoona huduma ya simu za mezani, maji na umeme...
Kwa nchi zilizoendelea hii ipo sana na huduma hizo almaarufu kama cable ambapo mtu hupata internet, voice na entertainment (Tv)...
Sasa TTCL yeye hana hizi huduma kwa miundombinu ya fiber yake kwenda kwenye makazi ya watu, isipokuwa ana mkongo wa taifa "NICTBB=National ICT broadband backbone" ambao wenyewe ni mahususi kwa ajili ya kubeba taarifa za internet na mambo mengine ya kimawasiliano kati ya Dar es Salaam na mikoani na hata kuunga na nchi za jirani Rwanda, Malawi etc...
Mkongo wa taifa wa mawasiliano unaweza ukaumithilisha na mtandao wa barabara, kwamba atokee mtu ajenge barabara nchi nzima, halafu kila anayetaka kutumia barabara kwa ajili ya uchukuzi awe analipia matumizi hayo...
TTCL kajenga huo mkongo kwa nia mbili, mosi, mawasiliano ya kiserikali (nadhani umeshawahi ona mara kadhaa viongozi wa serikali wanafanya video conf) na mbili ni kwa ajili ya watumiaji wengine wakubwa kukodisha/kununua bandwidth (hapa ndio makampuni ya simu hununua bandwidth ili internet zao ziweze kufika mikoani) kwa ajili ya matumizi ya sisi watu binafsi na mitandao mingine ya kibenki, polisi n.k
Hawa jamaa kama vile hawapo serious...Packages | Liquid Home
www.hai.co.tz
Ni kweli, nshanunua kifurushi cha 50k hapa maisha yanaendeleaMalalamiko ya wengi ni bando za sh 1,000 kutoka kwenye GB 1 kuja kwenye MB 350; maximum kabisa ni sh 10,000 GB 10 au zaidi kuja kuwa GB 4.
Wale wa GB za mwezi kuanzia sh 50,000 na kuendelea hawako kwenye haya malalamiko.
Na yeyote mwenye kuweza kulipa 70,000/- kwa mwezi kwa internet ya nyumbani pekee, siyo mwathirika sana wa hili.
2.5GB ni Tsh 10,000 hata sasa nimeshindwa kununua aiseeKuna mtu kaniambia Tigo 1.5 Gb ni sh 10,000.
Halafu linganisha na flat rate ya 70,000 kwa mwez (of course limitation ni mobility).